.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |


Posted by kifesi |

Daily Mail imeripoti kuwa msichana huyo wa Colorado, Marekani amekutwa hana hatia na mahakama baada ya vipimo vya madaktari kuonesha kuwa ana matatizo ya akili na hata wakati anafanya tukio hilo hakuwa sawa kiakili.
 isabella
Mahakama hiyo imeamua kuwa Isabela apelekwe hospitali kuanza matibabu badala ya kwenda jela kama ilivyokuwa inatarajiwa na wengi.
Upelelezi wa polisi ulieleza kuwa msichana huyo alimuua mama yake aitwae Yun Mi Hoy kwa kumchoma visu usoni mara 35, shingoni na sehemu ngingine za mwili wake.
Isabella anaelezwa alikuwa anamtishia mama yake mara kwa mara kuwa atamuua.

Posted by kifesi |

Kwa pamoja tuzidi kumwombea msanii wetu Diamond anayetuwakilisha kwenye tuzo za BET,aweze kushinda na mziki wetu uzidi kutambulika Duniani
Posted by kifesi |
Kwetu fashion inazidi kutanuka na kujizolea umaarufu kila siku,umaaru ambao haujaja  kirahisi bali kwa kazi nzuri ,na ubunifu mzuri wa mavazi yanayomfanya mtu ajiskie ufahari wa nyumbani yani Afrika..kwa ubora huo ndio maana imekua ikipata nafasi ya kuvisha watu mbali mbali wakubwa na wadogo pia kwenye matamasha mbalimbali..hizi ni baadhi ya picha za warembo waliovishwa na kwetu fashion wakati wa shughuli ya TANO LADIES












Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
SALAMA JABIRI, HOST wakipindi cha MKASI alijikuta ana changanya mambo baada ya mumuita PENNY kwa jina la WEMA....pindi wanarekodi kipindi ambapo PENNY alikua ndio mgeni...Hehehehe Siunajua PENNY na WEMA waliwahi kushea Mapenzi ya D..Patamu hapo!!! sasa PENNY alijibu nini baada ya kuitwa WEMA? Salama je ali RIAKTI vipi baada ya kuchanganya mambo.