.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |




Ni picha aliyoshare mpiga picha wa studio za iviewstudios ,@raqey_allaraqya  akimuwish siku njema ya kuzaliwa,inamwonesha akiwa kaziba sehemu zake mhimu na kipande tu cha taulo,bila shaka ilikua ni photoshoot ya kikazi,na bila shaka itakua ni moja ya picha itakayoleta gumzo
Posted by kifesi |

PSquare's Peter Okoye Fell Off Stage In
Victoria Island Lagos During Concert

Here is NaijaGists.com exclusive video of Peter Okoye's freaky stage fall accident last night at Victoria Island in Lagos.
This happened during Beat 99.9FM Triple 9 concert at the
Landmark Event Center. He sustained Leg InjuryPeter-Okoye-Fall
Posted by kifesi |

 Mtandao mpya wa kijamii
Wakati dunia ukiuchukua mtandao wa Facebook kama mtandao wa kijamii wenye watu wengi na uliosambaa zaidi duniani, mtandao huo umepata mpinzani mkubwa ambaye anachukuliwa na wengi kama mbadala wake, ‘Ello’.
Mtandao wa Ello uliotengenezwa na Paul Budnitz umetimiza wiki nane tu tangu uanze kutumika na maelfu ya watu wameendelea kujiunga ndani ya muda mfupi.
Baadhi ya watumiaji wa mtandao huo wameukosoa mtandao wa Facebook kuwa sio mtandao bora wa kijamii na kwamba umejikita zaidi katika kufanya biashara kupitia matangazo tofauti na ilivyo kwa ‘Ello’ ambao haulipishi kiasi chochote cha fedha kwa matangazo.
Mwanzilishi wa Ello amekaririwa akisema kuwa anaona Facebook kama mtandao uliojikita zaidi kwenye kufanya matangazo badala ya kuwa mtandao wa kijamii.
Mtandao huo umebatizwa jina la ‘Anti-Facebook’.
“Kila kitu kiko kwenye mpangilio mzuri wa mfuatano. Watu wataona kile tu wanachotaka kuona.” Amesema muanzishi wa Ello, Budnitz.
http://hivisasa.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/founda.jpg
Posted by kifesi |
 
Tarehe na siku kama ya leo Alizaliwa Naseeb Abdul ambaye Jina lake la
 kibiashara anafahamika kama Diamond platnumz,
tunamtakia maisha malefu yenye braka