.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
A great marriage is not when the 'perfect couple' comes together. It is when an imperfect couple learns to enjoy their differences.
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |



Siku za sikukuu za Christmas na Mwaka mpya ni siku ambazo watu mbalimbali ulimwenguni kote hujumuika kwa pamoja kwa  ajili ya  kusherekea kuzaliwa kwa Yesu kristo na mwaka mpya  kwa ajili ya  kumaliza mwaka na  kuukaribisha mwaka mpya.
Viongozi  wa dini husisitiza wakristo wote duniani kuungana kwa pamoja kumwabudu mwenyezi Mungu kwa kutenda matendo yanayo mpendeza mwenyezi mungu ikiwemo kusaidia wasio jiweza kutenda matendo mema.
Aidha, kinachoshangazwa katika  sikukuu hizi waumini wa kikristo pamoja na madhehebu mengine badala ya kumwabudu Mwenyezi Mungu wa mbinguni siku hizi zimekuwa zikitumika kuongeza maambukizi ya  magonjwa ya  zinaa ukiwemo ugonjwa wa UKIMWI.
Watu wengi siku hizi muhimu   huzini  pasipo kumuogopa mwenyezi Mungu. Ndoa  nyingi huingia  katika  migogoro na kupelekea nyingine hata kuvunjika. Hata  nyumba za kulala wageni (guest house ) hujaa sana watu suala linalothibisha kwamba asilimia kubwa ya watu hutumia siku hizo kuzini.
Watu wengine  hunywa pombe kupita kiasi  na kutoa lugha za matusi, Kuendesha magari  wakiwa wamelewa suala linalopelekea ajali na pengine ajali hizo kusababisha vifo. Uhalifu nao unaongezeka katika siku hizi muhimu.
Biblia inasemaje  kuhusu siku za sikukuu ?
Vitabu vya Mungu vinasisitiza watu kusherehekea sikukuu za Kristmasi na mwaka mpya kwa  amani na kwa kutenda matendo mema yanayo mpendeza mwenyezi mungu.
Posted by kifesi |
Ni swali alilolikwepa sana Diamond kuhusu mahusiano yake na Zari The Boss Lady wa Uganda. Hivi karibuni kwenye party ya Zari #ZariAllWhiteParty iliyofanyika Kampala Diamond na Zari wameweka wazi mahusiano.
Picha zinaonyesha Diamond na Zari wakiFrench Kiss mbele za watu kwenye party iliyofanyika club Guvnor.
zari 1 zari 2 zari 3 zari 4
Posted by kifesi |
Ni kweli Beyonce anajua kumfanya Jay Z awe mtu mwenye raha sasa kama inavyonyesha kwenye baadhi ya picha walizopiga kwenye siku ya kuzaliwa ya Jay Z ‘Dec 4′ . Wawili hawa walikwenda  Iceland kujiachia kwa muda huku wakisherehekea miaka 45 ya maisha ya Jay Z
Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-23 beyonce-jay-z-iceland-christmas-2014-5 beyonce-jay-z-iceland-christmas-2014-6
 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-7 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-9 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-11 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-18 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-15 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-14 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-13 Beyonce-and-Jay-Z-in-Iceland-12-600x483

Posted by kifesi |
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjo-ysOlETytmwbfzN89Q8b8Yp9ZJAJvf8oW1VRyLPLn0v9tDs9Qe3GN3I7lXUf3IEjocBRvlvFZaxk7Ovlr9a2_LkXHEhgF7xQrTrpCMw3Dm2IR-t-UiijZrhSiuIWYJIcQfuCX0OA3n4/s1600/Screen+Shot+2014-06-05+at+19.26.42.png
Posted by kifesi |