.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Kitu kibaya zaidi kinachokosewa na wanadamu wa nyakati hizi kwenye mapenzi ni kwamba wanapingana na haja za nafsi zao na wanafuata msukumo wa matamanio ya viungo vyao vya uzazi,unapomuoa mwanamke kwa sifa ya kujua kukata mauno unakosea kwa kuwa si kila muda utahitaji  kukatiwa viuno kwenye ndoa.
kuna kipindi utahitaji ukarimu wa mumeo wa mumeo ili uweze kufurahia maisha ya ndoa na pia kuna kipindi utahitaji tu busara za mkeo ili uweze kuikamilisha furaha yako kwenye ndoa.



Tunapochagua wenzi wetu wa maisha tusiangalie sababu za kimatamanio kwani vile vitu vilivyokuvuta kwake baada ya muda utaviona vya kawaida na utamuhitaji yeye kama yeye na sio sababu ya vile alivyo navyo na hapo ndipo yanapo simama mapenzi halisi kwa maana ya mapenzi na kamwe hawezi kuwa si size yako na wala hata kupwelepweta bure,kwani mapenzi yenu yenye nguvu yataziba kila mahala penye tundu ya usaliti.

\
Posted by kifesi |

11055866_373486159504502_1700260159_n
Posted by kifesi |
wwKwenye kila idara siku hizi kuna habari zake nyingi tu, utaambiwa Wanamichezo 10 matajiri duniani, 10 wanaouza zaidi kibiashara, Magari 10 ya bei ghali zaidi duniani…. hizo ni baadhi tu ya countdown ambazo tunazo kwenye haya maisha ya kila siku.
List ya hawa warembo ilitoka zaidi ya miezi miwili iliyopita so kama ilikupita fanya hesabu pamoja na mimi kwenye hii post, wanasema sio Warembo wa Ulaya bali hii ni list ya dunia.
a1#1 Nina Dobrev - mrembo huyu aliyetajwa kushika namba moja ni mwigizaji na Model mzaliwa wa Bulgaria aliyekulia Canada.
a2#2 Emmanuelle Chriqui – Ni mwigizaji raia wa Canada ambaye alianza uigizaji akiwa na miaka 10 ambapo jina lake linahusika pia kwenye movie ya mwaka 2008 ‘You Don’t Mess with the Zohan’
a3#3 Jessica Alba – Ni mwigizaji kutoka Marekani ambae ni mfanyabiashara na model pia ambapo alianza uigizaji akiwa na umri wa miaka 13 tu.
a4#4 Dianna Agron – ni mwigizaji kutoka Marekani ambae ana vipaji vya kuimba pamoja na kucheza pia.
a5#5 Monica Bellucci – Mrembo huyu wa Italy ndio kashika namba 5, akiwa ni mwigizaji pamoja na fashion Model.
a6#6 Olivia Wilde – Olivia ni mwigizaji wa Marekani, screenwriter na producer vilevile na pia amewahi kuonekana kwenye movie ya ‘The Girl Next Door
a7#7 Scarlett Johansson – ni Mmarekani ambae ni model, mwigizaji na mwimbaji pia aliyezaliwa kwenye jiji la New York.
a8#8 Penelope Cruz – ni mtoto wa Hispania, ni mwigizaji na Model Spain.
a9#9 Hayden Panettiere – Mmarekani ambae ni mwigizaji, mwimbaji na mwanaharakati.
a10#10 Angelina Jolie – Namba kumi ndio hii imechukuliwa na Angelina ambae ni mwigizaji na mwogozaji wa Filamu.
a11#11 Charlize Theron ndio jina la huyu mrembo hapa juu kwenye picha, ni mtoto kutoka South Africa na kazi yake kubwa mwigizaji na sasa ni mtayarishaji wa vipindi vya TV na filamu vilevile.
a12#12 Meryem Uzerli mtoto mwenye damu ya Kituruki na Kijerumani, ni mwigizaji na model pia.
a13#13 Keira Knightley ni wa London Uingereza, mwigizaji pamoja na mwimbaji.
a14#14 Olga Kurylenko kaiwakilisha Ufaransa kwenye hii list, ni mwigizaji na model pia.
a15#15 Mwigizaji Mmarekani Anne Hathaway ndio wa mwisho kwenye hii list.. una comment yoyote kwenye hii list? usisite kuiandika hapa chini mtu wangu
Posted by kifesi |

Imeripotiwa kuwa Miss Tanzania wa zamani ambae ni mchumba wa mda mlefu wa billionea reginald mengi, jackuline klyn leo amefanikisha kufunga ndoa huko ufaransa paris na billionea huyo, kama ilivyo ada na kuwaida mitandao ya kijamii ukiwemo na insta, as it known yakuwa hapo juzi kati mwanadada huyo aliweka tiza kwenye mtandao wake wa insta ya kuwa final destination, so kama ulikuwa hujui ndo tunakufungua macho yakuwa final destination yenyew ndio hii ya kuolewa baada ya kupitia misukosuko mengi, soon tutawaletea picha za harusi na ndoa ya klyn,na mengi huko france
by thechoicetz
Posted by kifesi |


Diamond house Baba Levo ambae huwa anasikika kwenye Ampifaya ya CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa, moja ya fix zake wiki hii ilikua ni kuhusu nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo imetengenezwa kwa gharama na kunakshwiwa kwa gold bafuni.
Posted by kifesi |
Diamond anapigwa vita sana adondoke, ila tusichojua wabongo ni kuwa Diamond akidondoka mziki wetu  unadondoka pia Dee ametuweka kwenye ramani ya muziki ambayo hatukuifikiria kwa miaka ya karibuni kwa juhudi zake, ila sisi badala ya kum-support ndio kwanza tunampiga mawe hatari. Kuna nchi kibao hapa Africa kitu kizuri pekee wanachojua kutoka bongo ni Diamond na ushiriki wetu Big brother.
 kila nikiskia kapiga hatua flani nafarijika kama Mtanzania na namuheshimu. 
Ila sio issue,kama tunaona ni sawa kumshusha  tumshushe tu halafu tuanze upya kuwapandisha tunaowapenda, tukishindwa tuanze kulaumu jinsi Nigeria walivyo-dominate game, si ndio zetu.
Posted by kifesi |
JAPO WALISHAACHANA ILA HII NI MOJA YA PICHA YAO KALI
463692450
Posted by kifesi |
V 1
Posted by kifesi |
shetaa
Posted by kifesi |

Posted by kifesi |
Msanii Diamond Platnumz amepost moja ya nyumba yake akisema hiyo ni moja ya kumi ya nyumba alizonazo, huku akisema ina vitu kama gym, jaccuzi,swimming pool, studio, pooltable, lounge etc









[/QUOTE]

Reply
Posted by kifesi |
Kweli walikutana wote akili moja
View image on Twitter
CAPS5SyVAAARHUlCAPLST2VEAAHFXnView image on Twitter
Posted by kifesi |



 Amazing that you were once a helpless little child, but now you a giant helpless person! Have fun blowing out all the candles on your cake!



Posted by kifesi |
Vee n K.O
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
bobiNi zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Bobbi Christina adondoke bafuni na kupoteza fahamu, japo familia yake imekuwa ikitoa taarifa kwamba hali yake inaendelea vizuri zipo taarifa zinazosema kuwa hakuna dalili yoyote ya msichana huyo kupata nafuu.
Familia yake, watu wa karibu wamekua wakitumia muda mwingi kumfanyia maombi msichana huyo.
Familia yake imepanga kukutana mwishoni wa wiki hii ili kuzungumzia hali ya msichana huyo ambaye mpaka sasa anatumia mashine kupumua na huenda wakafanya uamuzi wa wa kumtoa kutoka kwenye mashine hiyo ya kupumulia.
Bibi wa Christine ambaye ni mama mzazi wa Whitney Houston, amesema ni bora mjukuu wake akatolewa mashine hiyo, baba yake mzazi Bobbi Brown ni kama yuko njiapanda juu ya nini aamue.
Kwa mujibu wa daktari anayesimamia matiibabu ya binti huyo amesema hadi sasa hakuna dalili yoyote ya matumaini ambayo Bobbi Christina ameonesha tangu alazwe hospitalini hapo.
Posted by kifesi |
Akiwa na miaka 17 tu mdogo wake Kim Kardashian ‘Kylie Jenner’ ameanza kufanya photo shoot tofauti. Hii amefanya huko Hollywood Hills jumanne ya wiki hii.
Lakini pia Wiki iliyopita mpenzi wake ambaye ni rapa Tyga ’25’ alithibitisha kuwa ni wapenzi na Kylie kwa kuweka picha ya Kylie iliyoambatana na ujumbe wa  “Certain things catch your eye, but only few capture the heart.”


kly 2kyl
0318-kylie-jenner-photographer-splash-30318-kylie-jenner-splash-3
Posted by kifesi |

Daktari mmoja bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake.

Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana mara kwa mara na mpenzi wake, Nuh Mziwanda, kama zinaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia linalomsumbua mmoja wao au ni ugomvi wa kawaida wa kimapenzi.

“Mtu yeyote aliyepitia matatizo hasa unyanyasaji akiwa mtoto ‘child abuse’ iwe kunyanyaswa kwa kubakwa, kupigwa, kunyimwa chakula au mateso ya aina hiyo, akikua bila kupata tiba ya kisaikolojia huwa na tatizo kubwa kwa miaka mingi akiwa mtu mzima.

“Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na kupenda kujitenga, hasira za karibu, tabia za ajabu na kubwa zaidi ni kumfanyia mtu mwingine hasa mtoto ukatili aliofanyiwa yeye kitaalamu wanaita ‘Propensity Victimization,’” alisema daktari huyo.

Alisema katika nchi zilizoendelea, tatizo hilo hupewa kipaumbele katika matibabu kuliko ilivyo kwa nchi nyingi za kiafrika kwani madhara yake huwa ni pamoja na mwathirika kuamua kujinyonga au kuua.

Kwa maelezo hayo, mengi yanaonekana kufanana na matukio yaliyowahi kumkuta Shilole, kwani akiwa na umri wa miaka 14, aliwahi kubakwa, pia anatajwa kujihusisha kimapenzi na watu wenye umri mkubwa, ikiwa ni pamoja na kufanya kazi ngumu katika umri mdogo.