.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
fast 8
Baada ya mafanikio makubwa ya Fast 7 sasa wametangaza ujio wa  “Fast and Furious 8″. Filamu hii ambayo ni blockbuster imetangazwa kutoka April 14, 2017 wakati wa maelezo kuhusu Fast and Furious 8 yaliyotolewa na mwigizaji wa filamu hio Vin Diesel.
Posted by kifesi |
fast 8
Baada ya mafanikio makubwa ya Fast 7 sasa wametangaza ujio wa  “Fast and Furious 8″. Filamu hii ambayo ni blockbuster imetangazwa kutoka April 14, 2017 wakati wa maelezo kuhusu Fast and Furious 8 yaliyotolewa na mwigizaji wa filamu hio Vin Diesel.
Posted by kifesi |
fast 8
Baada ya mafanikio makubwa ya Fast 7 sasa wametangaza ujio wa  “Fast and Furious 8″. Filamu hii ambayo ni blockbuster imetangazwa kutoka April 14, 2017 wakati wa maelezo kuhusu Fast and Furious 8 yaliyotolewa na mwigizaji wa filamu hio Vin Diesel.
Posted by kifesi |
Ludacris & Eudoxie Baby Shower 8Baby Bridges is coming!
Ludacris and Eudoxie are about to have their first baby together, the third for Ludacris, who has two daughters. His older daughter, Karma Bridges attended the fun family affair.Ludacris & Eudoxie Baby Shower 10
The pair got engaged and married on the same day – Boxing Day 2014.Ludacris & Eudoxie Baby Shower 1
They held an adorable Secret Garden themed baby shower. The mother-to-be looked stunning in her white dress with a thigh-high slit.Ludacris & Eudoxie Baby Shower 2Letoya Luckett will be the child’s godmother, and was there alongside Laura Govan and Monica Brown.  Ludacris & Eudoxie Baby Shower 9Ludacris & Eudoxie Baby Shower 4Ludacris & Eudoxie Baby Shower 7Ludacris & Eudoxie Baby Shower 6Ludacris & Eudoxie Baby Shower 3

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |

Tina Knowles, Beyonce, Kelly Rowland, Solange, Angie Beyince, Bianca Lawson
Females in the Knowles-Lawson Family! Tina Knowles, Beyonce, Kelly Rowland, Solange, Angie Beyince, Bianca Lawson
Tina Knowles, Richard Lawson
Tina Knowles in Romona Keveza, Richard Lawson
Now more photos have emerged from the day and they ‘slay’!
Just like daughter Solange, who tied the knot in November last year, she opted to have an all-white wedding – where her, the groom and guests were clad in ivory to eggshell – different shades of the pristine colour.
Her daughter Beyonce, her family – Jay-Z, Blue Ivy, Destiny’s Child membersKelly Rowland, Michelle Williams and of course, family and friends were present including Richard’s daughter, actress Bianca Lawson.imageIn an exclusive interview with People, these were some of the details Tina Knowles-Lawson shared.tina-knowles-800Her two grand kids – Solange’s son Julez and Bey’s daughter Blue Ivy were ring bearer and flower girl.
After finalizing her divorce in 2011. she doubted she would ever find love again.
“But I was determined to be happy.” “You can find love at any age. You just have to go for it.”
Her groom has acted in soap operas All My Children and Dynasty amongst other projects, and they had known each other for three decades, but only reconnected a year and a half ago.
Within four months, she says, she knew “this is somebody that I could really spend the rest of my life with.”
tina-knowles-435Photo Credit: Cliff Watts/Beyonce.com & 



People Magazine
Posted by kifesi |
sophia
Video mpya ya Ben Pol iliyotayarishwa na waongozaji wawili wa video kutoka Tanzania Hanscana na Khalfan.
Ben Pol anasema mmoja ya watu kwenye crew ya kutengeneza video ndiye alimuunganisha na video model wa video yake, Model huyu anatoka TaboraSababu ya kufanya naye video ni kuonyesha na kutuma ujumbe kwa jamii kuwa watu wenye Albinism wana haki ya kupendwa kama binadamu wengine
Posted by kifesi |
dm_140716_espnw_russell_wilson_espys
Miezi saba baada ya Ciara kuachana na mpenzi wake ambaye ni msanii Future, imeripotiwa kuwa ameanisha mahusiano na mwanamichezo wa timu ya American Football Seattle Seahawks ‘Russell Wilson‘ jumapili hii.
Russell-Wilson-and-Ciara-date Russell-Wilson-and-Ciara-date-3
Posted by kifesi |
Shetta 2Usambazaji wa picha kwenye mitandao siku hizi umekua na nguvu kubwa sana, picha inaweza kusambazwa ndani ya dakika 20 ikabadilisha mambo mengi sana kwenye maisha tunayoishi.
Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shetta ambaye alikuja kwenye studio za Millard Ayo na kukubali kuweka wazi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ambayo haina hata miaka mitano.
Unataka kuona alichosema kuanzia mwanzo mpaka mwisho? unataka kuona picha ya zawadi aliyomnunulia mke wake na bado akaikataa? bonyeza play hapa chini..


credt- Millard Ayo.com
Posted by kifesi |

ya kumshirikisha Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, huenda Diamond akasikika tena kwenye wimbo wa Mzee Yusuf. Akiongea kwenye kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Mzee Yusuf alisema huenda akamshirikisha Diamond kwenye wimbo uitwao ‘Kikulacho’. Katika hatua nyingine, Mzee Yusuf alisema nyimbo zake zitakazokuwepo kwenye album yake ijayo zitakuwa na si zaidi ya dakika 5
Posted by kifesi |
 DSC_6352
Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby,Ali KibaKassim MgangaOmmy Dimpoz, Msamina Kenya.. WOTE kwenye stage moja watu wakaenjoy pamoja mtu wangu..
Katika tukio lililowashangaza wengi ni ishu ya msanii Ommy Dimpoz alipojikuta akishindwa kujizuia mbele ya mashabiki zake na kuanza kulia wakati akiimbi wimbo wa ‘Nani kama mama‘ alioshirikishwa na Christian Bellakitendo kilichomfanya ashindwe kuendelea kuimba na kushuka jukwaani.
Soudy Brown alikuwa eneo hilo na kuamua kuzungumza nae kutaka kujua tatizo ni nini… Dimpoz  amesema aliandika wimbo huo kwasababu ya kumbukumbu ya kifo cha mama yake aliyefarika miaka 15 iliyopita na kumuacha akiwa mdogo.. wakati anaimba wimbo huo kulimfanya akumbuke mapenzi ya mama na kutamani kama mama yake angekuwepo na kuona mafanikio ya mtoto wake akiwa mtoto pekee.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza stori yote…
crdt:mmillardayo
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |

Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi Leo vimewekwa wazi bei ya viingilio..kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni elfu 50. 

And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...
50,000/= 100,000/= VIP
1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....
3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the VIP & VVIP Table booking Call +255755700400 )......
( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015
50,000/=
100,000/= VIP
1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure
3,000,000/=VVIP sambamba na Ticket 8 na Vinjwaji vya Bure vya Milioni Moja...) kwa maelezo na Kuwai Meza piga +255755700400 ‪#‎KIMENUKA
Posted by kifesi |

 Ijumaa hii Wema Sepetu alikuwa mgeni kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni pamoja maisha baada ya kuachana na Diamond Platnumz.
 


Haya ni mambo 10 aliyosema:
1. Maisha yake bila Diamond yako poa tu japo mazoea yaliyokuwa yamezidi kati yao yanamfanya wakati mwingine kummiss!
2. Ameshakubali ukweli kwamba yuko mbali na Diamond
3. Anaamini kuwa Diamond anammiss pia kutokana mazoea waliyokuwa nayo
4. Wema na Diamond sio marafiki
5. Hana  kinyongo na Diamond ila anaamini kuwa Diamond bado ana kinyongo naye
6. Ni shabiki na ataendelea kuwa shabiki wa nyimbo za Diamond
7. Hawajahi kukutana na Diamond tangu waachane
8. Hajawahi kumpigia simu
9. Aliwahi kumtumia meseji Diamond kumpa pole kwa kuuguliwa na mama yake

10. Bado hajapata mwanaume mwingine
Posted by kifesi |
Picture-211-300x300
Rapa Nicki Minaj amewapa mashabiki wake kitu cha kuongelea weekend hii baada ya kuweka picha akiwa na mpenzi wake Rapa Meek Mil huku Nicki Minaj akiwa na pete kubwa ya uchumba kwenye kidole cha kushoto cha Pete.
Revolt Tv imeripoti kuwa wapenzi hawa wanaweza kuwa wamevalishana pete za uchumba baada ya miezi miwili ya mapenzi yao.
minaj 2 minaj
Posted by kifesi |

Chris-Brown-040613sp

Msanii wa rnb Chris Brown ameonekana kuwa na raha ya kuwa baba na wiki hii ametupa picha ya kwanza akiwa na mtoto wake wa kike Royalty. Mtoto huyu ana miezi 10 tu. Picha ya Chris na mtoto wake iliambatanishwa na ujumbe uliosema
God has blessed me with my twin. #ROYALTY,”
chris-brown-royalty-1
Posted by kifesi |

469557370
Toni Braxton with her sons, Denim & Diezel
That’s a very hot woman and of course, one talented singer … but is this too much?!
Toni Braxton, 47, attended UNCF An Evening of Stars in Atlanta, Georgia, USA this week with her mother, Evelyn Braxton and her two children – sons Denim Cole Braxton-Lewis and Diezel Ky Braxton-Lewis.
As much as she looked great, the dress showed so much of her body through the dress that we’re wondering if this is ‘OK’ to wear next to one’s teenage sons.
Here are some photos from the event!
Red Carpet469546478469546614469556644Performance with Babyface469784642469784556

Posted by kifesi |

rihanna coco 2
Msanii wa Rnb Rihanna aka Rih Rih amekanusha taarifa za kuwa alionekana kwenye video akijitayarisha na kuvuta dawa za kulevya aina ya Cocaine. Video hio inamuonyesha Rihanna na marafiki wachache wa kicheza muziki wa reggae huku Rihanna akivuta kitu kisichojulikana.
Rihanna aliandika hivi instagram kuhusu uvumi huo  uliosambaza na mtumiaji wa instagram ambaye kwa sasa amefuta account Yake..
Your lame ass got some f**king nerve!!!”  “Any fool could see that’s a joint that I’m basing with cigarette! Who snorts tobacco. FOH witcho ‘never been to a rodeo so someone squeezing their nose means they’re doing coke’ lookin ass!!”
rihanna coco
Posted by kifesi |
Ujumbe kutoka kwenye instagram ya Wasafi ambay ni lebel ya Diamond Platnumz wasasema Diamond hukesha usiku kucha na siku zingine mpaka asubuhi akirekodi na maproducer tofauti.
 ..Sa 12 asubuhi.. Baada ya kuutumia usiku mzika akiwa studio ..akapitiwa usingzi mule mule studio ..
Kitu kimoja ambacho hukifaham..Diamond hajawahi kufaidi usingizi wa usiku kww kulala mapema .si kwamba anakawia kulala akiwa anatazama movie..ama anacheza game ama yupo club or bar..
Mda mwingi anautumia akiwa studio kama hivi..ama akiwa nyumbani basi atakesha akiandika nyimbo tofauti tofauti ndio mana usishangae hadi sasa ana mamia ya nyimbo za kila stayle zipo tu stoo..
Then imagine mtu kama huyu
Anavohangikia kazi yake..kwa juhudi zake mwnyewe anatengeneza kazi nzuri..then mtu from no where atake kumshusha hata wengine kumbeza ..
Na wale wavivu Wa kufikiri kuleta stor za ufriimasoni cjui ndumba TZ tubadilikeni basi tuamini tu kua mafanikio hayaji kwa kutegmea mgongo ama kiki ya MTU mwingine ama kukaa / kufanya starehe tuu ukitegemea kufanya vzuri… badala ya kupiga kelele Basi IGA hata mifano yake hii ya anachokifnya
..Good morning Africa…
Hizi ni baadhi ya picha akiwa Surround Studios na Tudd Thomas
d  14 d 12 d 13 d 15 d 16 d 17 d 18
Posted by kifesi |
2G2A1524
IMG_3279
 uzinduzi wa Movie hii uliofanyika APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. tumeona watu wengi wanalalamika kwamba story za kwenye Bongo Movie ni kama zinajirudia rudia hivi, lakini hii iko tofauti.
Story ya movie inahusu Daktari mmoja kutoka Marekani anakuja zake TZ kuvolunteer kama mwezi mmoja hivi.. kumbe hiyo ilikuwa ni mistake kwake?
Mengi yanamtokea huyu Daktari akiwa ndani ya TZ..
Kwa time yao unaweza kuingia mtaani ukaicheki kwenye maduka ambapo inapatikana kwenye DVD, nimeambiwa iko pia kwenye iTunes mtandaoni.
Hapa nna PICHAZ ambazo nimekusogezea uzinduzi iliyokuwa.
2G2A1161
2G2A1202
2G2A1211
2G2A12312G2A1236

2G2A1258
2G2A1283
2G2A1307
2G2A1313
2G2A1361
2G2A1420
2G2A1475
2G2A1513
2G2A1524