.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |



Kuna mambo inachukua mda sana kuyamini unaposimliwa kama hivi,mpaka ushuhudie kwa macho yako,hususani kwa swala kaa hii linamomhusisha Mtanzania mwenzetu,tukio lililofanywa na ndugu Frank Mtafungwa NA mkewe Anitha Mwemezi NI TUKIO SIYO TU limeweka historia ,bali ni tukio litakalo ishi kwa mda mlefu sana kwenye vichwa vya waloshuhudia ,ama kusimliwa ..ni tukio la sherehe ya harusi yao ya kipekee kabisa kuwahi kutokea…a  LOYAL WEDDING

Kila kitukilikuwa tofauti,kuanzia maandalizi,mpangilio location etc,lakini kama haitoshi mamia ya waalikwa waliokuwepo toka sehemu mbali mbali duniani,hakuna aliyechangishwa pesa,siyo kitu kidogo siyo??lakini kingine maharusi walibadili mavazi zaidi ya mara tatu,siyo kitu cha kawaida…maneno hayatoshi kuelezea upekee wa ndoa hii ya kihistoria,kikukbwa tazama baadhi tu ya matukio kupitia picha,amabapo CEO wa kwetu fahion,Missy Temeke nae alikuwepo..all in all mwenyezi Mungu awape maisha malefu Mr Frank Mtafungwa na mkewe,na ndoa yenye furaha na amani
Bwana harusi Frank Mtafungwa akivisha pete mkewe Anitha Mwemezi siku ya harusi yao July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.
Bwana na Bi harusi wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe yao ya harusi kwa mara ya kwanza kama mke na mume.
Bwana na Bi harusi katika Densi yao ya kwanza.
Bwana na Bibi harusi wakikata keki na baadae kulishana kwa mara ya kwanza kama mume na mke.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula (watatu toka kushoto anayeangalia nyuma) akiwa mmoja ya wageni waalikwa kwenye harusi ya Frank Mtafungwa na mkewe Anitha Mwemezi iliyofanyika siku ya Jumamosi July 5, 2014 Houston, Texas nchini Marekani.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Missy T na marafiiki zake walivyopendeza katika Royal Wedding Houston, Texas nchini Marekani katika picha ni missy T na rafiki yake katika picha ya pamoja na mwanamuziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee

0 comments:

Post a Comment