.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Kajala alifunguka kwamba madai hayo hayana ukweli wowote na wala hana ukaribu na mtangazaji huyo.
Mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.
“Sina relation (uhusiano) kama huo na Perfect zaidi ya kazi tu,” alisema Kajala huku Perfect akiwa hapatikani hewani kila alipotafutwa.
gpl
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |



Hii ni harusi iliyowashutua watu wengi duniani na inaweza kuingia kwenye rekodi kubwa sana, harusi hiyo ilifanyika huko South Africa. Kati ya mtoto Sanele Masilela mwenye umri wa miaka 8 na Helen Shabangu mmama mwenye umri wa miaka 61 kufunga ndoa ya maisha, duuh!! hivi ni kweli jamani au ndiyo geresha tu, kwa huyo dogo.
Posted by kifesi |






Posted by kifesi |

diamond
Siku chach zilizopita  kupitia kipindi cha xxxl Ali kiba aliongelea uhusiano wake na Diamond na kwenye teaser ya kipindi cha sporah,anaonekana akiseama kuwa diamond ni kama yupo siti ya nyuma kwake,sasa Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva wameutafsiri kama majibu juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.
Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kaandika>>’Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke,Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete sifa na heshima nchini kwetu’.
dimaond