.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Oops! wahenga walisema ajali haina kinga........ 
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi kim kardashian  na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.

Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.

Inasemekana dada huyo alioneka akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya marekebisho ya fasta.....majanga!!

Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki mmoja akioza, wote wameoza
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Screen Shot 2014-09-07 at 1.08.31 AMSimone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani.
Bado chanzo cha kifo chake hakijasemwa lakini uchunguzi unaendelea zaidi kujua ni nini kilitokea na wala hakuna taarifa za ziada zilizotolewa zaidi ya hii ya kusema amekutwa amefariki nyumbani kwake.
crdt-MILLARDAYO
Posted by kifesi |