.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Dr Jose Chameleone ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale,usikilize hapa
Mkali huyu kutoka Uganda ambaye nyimbo zake Badilisha na Valuvalu bado zinapendwa, ametoa wimbo mpya unaitwa Walewale. Kama kawaida yake ameimba kwa lugha ya kiswahili akichangaya na lugha ya kiganda. Unaweza kuusikiliza hapa

Posted by kifesi |