.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Vee n K.O
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
bobiNi zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Bobbi Christina adondoke bafuni na kupoteza fahamu, japo familia yake imekuwa ikitoa taarifa kwamba hali yake inaendelea vizuri zipo taarifa zinazosema kuwa hakuna dalili yoyote ya msichana huyo kupata nafuu.
Familia yake, watu wa karibu wamekua wakitumia muda mwingi kumfanyia maombi msichana huyo.
Familia yake imepanga kukutana mwishoni wa wiki hii ili kuzungumzia hali ya msichana huyo ambaye mpaka sasa anatumia mashine kupumua na huenda wakafanya uamuzi wa wa kumtoa kutoka kwenye mashine hiyo ya kupumulia.
Bibi wa Christine ambaye ni mama mzazi wa Whitney Houston, amesema ni bora mjukuu wake akatolewa mashine hiyo, baba yake mzazi Bobbi Brown ni kama yuko njiapanda juu ya nini aamue.
Kwa mujibu wa daktari anayesimamia matiibabu ya binti huyo amesema hadi sasa hakuna dalili yoyote ya matumaini ambayo Bobbi Christina ameonesha tangu alazwe hospitalini hapo.
Posted by kifesi |
Akiwa na miaka 17 tu mdogo wake Kim Kardashian ‘Kylie Jenner’ ameanza kufanya photo shoot tofauti. Hii amefanya huko Hollywood Hills jumanne ya wiki hii.
Lakini pia Wiki iliyopita mpenzi wake ambaye ni rapa Tyga ’25’ alithibitisha kuwa ni wapenzi na Kylie kwa kuweka picha ya Kylie iliyoambatana na ujumbe wa  “Certain things catch your eye, but only few capture the heart.”


kly 2kyl
0318-kylie-jenner-photographer-splash-30318-kylie-jenner-splash-3