.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly
 Siku ya Jumamosi ya week iliyopita tarehe  Oct 4, 2014.kulifanyika
\ mkutano wa DICOTA 2014 Convention Durham North Carolina
uliohisisha wafanyabiashara toka sehemu mbali mbali na
 Mkurugenzi wa kwetu fashion,Miss T alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria pamoja na  Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly,zifuatazo ni baadhi ya picha walipoenda kupata sala EAID..
Picha zaidi za mkutano zitakujia ..