.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |
Mtandao unaodeal na habari za mastaa TMZ umeripoti kuwa ,
Chriss brown kapewa adhabu nyingine na mahakamaya  
 kufanya kazi za kijamii kwa masaa nane kila siku, na kwa
 mujibu wa ratiba aliyopewa na mahakama anatakiwa afanye kazi hizo kwa
 siku 4 kila wiki, ikimaanisha ni siku 1 tu ndani ya wiki kuanzia Jumatatu 
mpaka Ijumaa ambazo ‘atadeal’ na mambo yake mengine. 
wa daktari wake huenda usimuokoe Chris kwenye ‘
adhabu hiyo kutokana na matukio kadha aliyoyafanya 
akiwa chini ya uangalizi wa mahakama juu ya mwenendo wake baada ya kukabiliwa na kesi ya 
kumtwanga makonde mpenzi wake wa zamani, Rihanna.
Chris Brown
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
DD
Hii ilikuwa ni kwenye mahojiano na waandishi wa habari 
kipind amekuja kwenye show ya fiesta ,pamoja na mebngine
 davido alisema kua Mengineamba aliyoyasema ni kwenye 
album yake mpya inayotoka mwanzoni mwa 2015 
wameshirikishwa wasanii wachache kutoka Afrika ambao
 ni pamoja na Diamond na Mafikizolo na kwamba kuna 
wasanii wawili wakubwa wa kimataifa aliowashirikisha ambao hatowataja kwa sasa
Posted by kifesi |
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/SAUTI-SOL_6578.jpg
Posted by kifesi |
T.I
mkali kutoka Marekani Rapper T.I  aliyeangusha show 
ya nguvu katika jukwaa la Fiesta 2014 siku ya Jumamosi 
Oktoba 18 2014 katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam,
 ameseam kwake sho ya fiesta ndio concert kubwa kuwahi kufanya mbele ya watu zaidi ya elfu 50
Katika mahojiano aliyofanya New York Marekani na 
kituo maarufu cha redio Power 105.1 kwenye show ya Breakfast
 Club, T.I amesema tangu aanze kufanya muziki hajawahi kufanya show kwenye jukwaa 
lolote mbele ya mashabiki zaidi ya 50,000.
T.I amelinganisha idadi hiyo kubwa aliyokutana nayo 
Tanzania kuwa ni sawa na kufanya show katika
 uwanja wa mpira wa miguu na kuujaza kwa show
 moja, kitu ambacho anakiona kabisa sio rahisi 
na ndio maana hii ya Leaders imekua kubwa kwake.angalia video ya mahojiano hayo ambapo kazungumzia pia ishu ya ebola