.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
00Hivi sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar tatu ndani yake.
Japokuwa pesa alizolipa Bieber kumiliki nyumba hii haijawekwa wazi, sifa zake ni kuwa na ukubwa wa square meter 16,000,vyumba vya kulala 10,gym kubwa,bwawa la kuogelea,movie theater yenye screen ya inch 160 na vitu vingine.
Justin Bieber ameshahama kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuhamia kwenye nyumba hii mpya aliyonunua. Hizi ni picha 10 zikionyesha nyumba hiyo
0
1
2
3
4
5
6
7
8
9
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
 http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/FRONTAMANI.jpg
Baada ya gazeti la udaku(AMANI)kuandika tuhuma kuwa Diamond anafanya biashara ya madawa ya kulevya
leo kupitia Bongo 5 meneja wa Diamond,Babu tale amekanusha
Tunalipwa milioni 20 show moja, tunalipwa dola elfu 25,000 show moja, hii ni zaidi ya madawa ya kulevya,” amesema Tale. “We get more money from music, sio kwenye madawa ya kulevya, hatufanyi hizo biashara na kama wanahisi sisi tunafanya tunawaruhusu watufanyie investigation hata kwa muda wa miaka kumi ina maana tunavyopita pale airport hawana vifaa vya kutuchunguza? Ipo wazi hata Global walishindwa kufanya kazi na sisi kwa sababu sisi ni wakubwa. Sasa leo hii tunauza madawa ya kulevya kwa sababu tunakomaa kwenye bei zetu. September tunafanya show kubwa ya Unplugged na msanii wa kwanza hapa kufanya ile show ni Diamond na ile show hawalipi hela ya kis**e, wataendelea kuona watu wanauza madawa ya kulevya, hakuna msanii wa Tanzania anayefanya show kwa walau dola elfu 10,000 ni Diamond peke yake wengine ni dola elfu 2000, 2500 elfu 3,000 mwisho. Tuna show Marekani show kumi na tano (15) show kumi na tano dola elfu ngapi? Na kwa hapa Tanzania hatufanyi show chini ya dola elfu 15,000,” ameongeza Tale.
Posted by kifesi |

THE FIRST RED CARPET MAGAZINE RELEASE PARTY!!!!!!!!
In honor of the limited edition Betty Fashion No. 1, we are hosting an exclusive Magazine release party to celebrate the months of hard work that went into producing our first printed magazine on September 6, 2014 at 9 pm @ Cristal Restaurant and lounge. There will be a fashion show by top designers LIC Fasion (America), Sifa Love( Congo), KEWTU Fashion (Tanzania) with Ethiopian and American top models, Chanel makeup artist- Yordanose Fesshaye, music , cocktails drinks, and Hookah.

Guests: Miss African USA 2014, African-American famous actors, Everyone is Invited to the Betty Fashion Magazine release Party –Come and join us Don’t miss this amazing event.

Dress code -red carpet look!!