.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

ya kumshirikisha Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, huenda Diamond akasikika tena kwenye wimbo wa Mzee Yusuf. Akiongea kwenye kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Mzee Yusuf alisema huenda akamshirikisha Diamond kwenye wimbo uitwao ‘Kikulacho’. Katika hatua nyingine, Mzee Yusuf alisema nyimbo zake zitakazokuwepo kwenye album yake ijayo zitakuwa na si zaidi ya dakika 5
Posted by kifesi |
 DSC_6352
Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby,Ali KibaKassim MgangaOmmy Dimpoz, Msamina Kenya.. WOTE kwenye stage moja watu wakaenjoy pamoja mtu wangu..
Katika tukio lililowashangaza wengi ni ishu ya msanii Ommy Dimpoz alipojikuta akishindwa kujizuia mbele ya mashabiki zake na kuanza kulia wakati akiimbi wimbo wa ‘Nani kama mama‘ alioshirikishwa na Christian Bellakitendo kilichomfanya ashindwe kuendelea kuimba na kushuka jukwaani.
Soudy Brown alikuwa eneo hilo na kuamua kuzungumza nae kutaka kujua tatizo ni nini… Dimpoz  amesema aliandika wimbo huo kwasababu ya kumbukumbu ya kifo cha mama yake aliyefarika miaka 15 iliyopita na kumuacha akiwa mdogo.. wakati anaimba wimbo huo kulimfanya akumbuke mapenzi ya mama na kutamani kama mama yake angekuwepo na kuona mafanikio ya mtoto wake akiwa mtoto pekee.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza stori yote…
crdt:mmillardayo