.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
1-KILA SIKU AMKA UKIWA NA MAWAZO POSITIVE
2_KULA VIZURI,HAIMANISH KULA CHAKULA 
CHA GHARAMA,BALI KULA CHAKULA
  KITAKACHOBORESHA AFYA YAKO NA SI KUHARIBU
3_LALA VIZURI NA KWA WAKATI
4_FANYA JEMA,HATA KAMA NI DOGO
 KIASI GANI,LITAHESBIKA
Posted by kifesi |
Ni mmoja ya wakongwe wa mziki Tanzania 
ambao,walichangia kwa kiasui kikubwa mziki
 kuwa hapa ulipo saivi,amefsriki leo katika
 hospital ya taifa Mhimbili..mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake kwa amani
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Kutokana na mvua zinazonyesha hivi sasa kwenye jiji la
 Dar es salaam pamoja na kusababisha mambo mengi
 kusimama, miundombinu kuharibika hasa madaraja yanayounganisha
 njia kuu, pia zimesababisha vifo vya watu 10. 
Nyumba nyingi zimeingia maji hasa maeneo ya mabondeni na kulazimisha familia 
kuhama kutoka kwenye makazi 
yao ambapo mpaka sasa Polisi Dar es salaam inasema 
 watu kumi waliofariki, wamo watoto watano na watu wazima watano.
 Kamanda Suleiman Kova wa kanda maalum ya Dar es salaam
 amesisitiza hali sio nzuri hivyo
Posted by kifesi |

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |
kuelekea katika tuzo za Kora Africa mashabiki 
wamepewa nafasi ya kuchagua wasanii 
wanaowakubali Africa kwa kuwapigia kura kwa
 kuandika jina la msanii wanaemkubali. wiki ya 14 hivi sasa
 Diamond amefanikiwa kutoka katika nafasi ya 
14 mpaka nafasi ya 3 wiki hii. kupitia ukurasa
 wao wa facebook, Kora Awards, wametoa nafasi kwa
 mashabiki kuchagua best artist kutoka
 mashariki, kati,magharibi, kusini na kaskazini mwa
 Africa kabla ya kuja na list kamili ya wasanii
 wakali wiki hiyo ya tuzo. Kwa wiki hii ya 14,Diamond Platnumz
 amemkalisha Amani kutoka Kenya pamoja na Kidumu
 kuwakilisha Africa ya mashariki. Diamond amesogea
 kutoka nafasi ya 14 wiki iliyopita mpaka nafasi ya 3 wiki hii.