.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
kuelekea katika tuzo za Kora Africa mashabiki 
wamepewa nafasi ya kuchagua wasanii 
wanaowakubali Africa kwa kuwapigia kura kwa
 kuandika jina la msanii wanaemkubali. wiki ya 14 hivi sasa
 Diamond amefanikiwa kutoka katika nafasi ya 
14 mpaka nafasi ya 3 wiki hii. kupitia ukurasa
 wao wa facebook, Kora Awards, wametoa nafasi kwa
 mashabiki kuchagua best artist kutoka
 mashariki, kati,magharibi, kusini na kaskazini mwa
 Africa kabla ya kuja na list kamili ya wasanii
 wakali wiki hiyo ya tuzo. Kwa wiki hii ya 14,Diamond Platnumz
 amemkalisha Amani kutoka Kenya pamoja na Kidumu
 kuwakilisha Africa ya mashariki. Diamond amesogea
 kutoka nafasi ya 14 wiki iliyopita mpaka nafasi ya 3 wiki hii.




0 comments:

Post a Comment