.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQkJRPQcwPfjGXzveg1H7G_W7fERPRM3Cw8rnqG5Ya2ISaPSGqWkB2G6qqlTIB66IZ6T6VTvK9ZhQmVpH8mnM2FPni6hbTCPV9tP6Vn9HeqLb2v57CwYd2aZHq66KsnLH5SCfNCerk67nc/s1600/mama+kim3.jpg
Kris Janner Ambae Ni Mama Wa Mwanamitindo Kim Kardashian Kaweka Mambo Hadharani Japo Mwanzoni Kulikuwa Na Uvumi ulioenea Kuwa Ana Mahusiano Na Corey Gamble.
Lakini Kwa Sasa Kila Kitu Kipo Wazi Kutokana Na Picha Na Sehemu Wanazotembelea Wakiwa Wawili Na Kukaa Kimahaba Zaidi.
Kris Alipoulizwa Kuhusu Mahusiano Yake Na Corey Alisema Ni Mwanaume Mzuri Mwenye Mapenzi Na Kila Mtu, Ana Mjali Mtu Yeyote , Sio Mnywaji Na Sio Mtu Wa Kupenda Starehe ,
Posted by kifesi |
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVGTbIrPNNVTGO2bbMqJX_WTyPGrliGB2RqBQ_JuZfBGZCo_HbkonTjODFdt4EcujDX6mYFsWi1YPaadYXqeNjNtE87Zuh8jIi6PUk_s_j6KAGSp_H9sy9kkftP25ic79lIWelT_widNg/s1600/diamooon.PNG
Hebu tuweke kumbukumbu sawa hapa manake inawezekana watu mmekazana kusifia umalaya wa wenzenu kwa vile wa kwenu hakuna anayeufuatilia. Kwa kumbukumbu zangu, tangu Diamond arudiane na Wema, hatujasikia kwa ushahidi kabisa kwamba Diamond amegonga mwanamke fulani. Tangu wamerudiana, ni karibu miaka mitatu sasa na ndipo tunapata habari za Dangote na Zari.

Sasa , kaa chini na tafakari na wala haina haja ya kutoa jibu hapa... jibu baki nalo mwenyewe kwenye nafsi yako kisha jiulize kama una moral authority ya kumnyooshea kidole Diamond! Wewe mwanamke, kaa chini na tafakari kisha jijibu mwenyewe; over the past three years, umegongwa na wanaume wapya wangapi? Wewe mwanaume, over the past three years umegonga wangapi? UKishapata jibu hebu jaribu kujitafakari kama kweli unayo moral authority au tu ni kwavile ya kwako hayajulikani!!!!

Kuna watu wengine, kama kawaida yao, eti anatafuta kiki! Hii hoja ishapitwa na wakati coz' video ambae ameiachia siku tatu tu zilizopita tayari ina views zaidi ya 350,000... sasa utafute kiki ya nini kwa ku-post picha kama hiyo.... hebu njooni na hoja za msingi, hiyo ya kutafuta kiki ishakuwa obsolte!!
Posted by kifesi |
Pamoja na awali kukana kwa kusema ni project tu ya mziki wnafanya,kwa picha hii pasipi shaka hii ni new couple in town
Posted by kifesi |


diamond na zari
Nov 21, Diamond amesikika kwenye show ya XXL ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia ni pamoja na story zilizoenea mitandaoni kwamba mahusiano ya msanii huyo na Wema yameisha pamoja na story ambayo imetokana na kuenea kwa picha mitandaoni za msanii huyo na Zari the Boss Lady kutoka Uganda.
Hii ni sehemu ya mahojiano aliyofanya Diamond kwenye XXL:
Adam Mchomvu :”…Nataka kujua ile vibe ya Fiesta that day, story zilikuja ooh Diamond kazomewa.. kazomewa kazomewa..na vitu kama vile, sijapata chance ya kukusikia wewe una kipi cha kuzungumzia kuhusiana na that situation..?“
Diamond :- “… Siku zile kwangu ilikuwa kama mchezo, unajua muziki ushakuwa kama sio fani tena, ushakuwa kama siasa.. So, lazima uichukulie hivyo wewe mwenyewe kama msanii ujue una control vipi kwa sababu sio mara ya kwanza vitu kama hivyo vishatokea Maisha.. Maisha yalitupwa mpaka na mayai viza kabisa.. Ni vitu ambavyo vikitokea naonaga kama ni kawaida…“
B 12  :-“…Kwa hiyo ukweli uko wapi kati yako wewe na Wema Sepetu?…”
Diamond  :- “…Kuna vitu vitu fulani nadhani kuvizungumza sio vizuri… Lakini ikifikia kuvizungumzia vinazungumziwa… Uzuri wa mahusiano yetu ni kwamba kila mtu anafahamu… Haijafikia kuweka wazi ndio maana ninapoulizwa inakuwa ni swali gumu kulijibu.. “
B 12 :- “.. Ni gumu kwa upande wako lakini yeye yuko tayari kuzungumza kwamba it’s over kati yangu mi’ na Diamond…“
Diamond  :- “… Sijui…“
B 12  :- “…Hii ngoma kama umemzungumzia yeye direct hivi… watu wamekuza akili zao zikaenda mbali zaidi kimawazo lakini, kwamba inawezekana ile singo umemwimbia yeye hivi kwamba bado unamzimia japokuwa bado kama kakutosa hivi…“
Diamond  : “.. Waswahili wanasema ‘A’ na ‘B’ yote majibu, halafu ukisikiliza ile nyimbo kama kweli mtu mwenye ufahamu wako, kweli kabisa hauwezi kuwa na maswali mengi …“
Kuhusiana na mahusiano yake na Zari the Boss Lady, Diamond amejibu hivi:
Diamond  :- “.. Zari ni rafiki yangu tu, alipokuja hapa mimi ndio nilikuwa mwenyeji wake Tanzania na kama mimi ndiyo mwenyeji sikutaka kuleta roho za kibaguzi, unajua hata alipokuja Davido pia ilibidi awe na mimi karibu ili hata kesho na kesho kutwa  mimi nikiwa Nigeria basi Davido anipokee hivyo hivyo…“
Posted by kifesi |
.
.
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku nne.
Video ya P Square  ‘Shekini’  iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165 huku Diamond ambaye  video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina views 354,910.
Posted by kifesi |
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/ay-n-sean.jpg