.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
A mother is the truest friend we have, when trials heavy and sudden, fall upon us; when adversity takes the place of prosperity; when friends who rejoice with us in our sunshine desert us; when trouble thickens around us, still will she cling to us, and endeavor by her kind precepts and counsels to dissipate the clouds of darkness, and cause peace to return to our hearts.



Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Wimbo Mpya: Mary J. Blige- Right Now
Posted by kifesi |
Gardener G Habash azungumzia tetesi za kuachana na Lady Jay Dee na chanzo chake,
Gardner G Habash amekanusha taarifa zilizokuwa zimesambazwa kwenye mitandao kuwa yeye na mkewe Lady Jay Dee wako kwenye wakati mgumu wa ndoa yao. Akizungumza katika Exclusive Friday ya 100.5 Times Fm, Gardner ameeleza kuwa hizo ni taarifa zisizo za kweli ambazo amekuwa akizisikia tu. “Hakuna tatizo. Kusema ukweli nimekaa na Lady Jay Dee kwa miaka mingi sana na hii sio mara ya kwanza kuzungumzwa kwa mambo kama hayo. Na tumeshazoea. Hata kama kuna kitu kinazungumzwa, mimi hata sina habari kwa sababu nimeshazoea. Kwa hiyo na mimi pia nimesikia kama ulivyosikia wewe. Lakini tatizo hakuna.” Amesema Gadner. Ameeleza kuwa chanzo cha tetesi hizo kinaweza kuwa siku ambayo yeye alionekana polisi katika kesi ya usalama barabarani na Lady Jay Dee hakufika. Amesema huenda watu walichukulia tofauti lakini ukweli ni kwamba yeye ndiye aliyemshauri asiende ili kuepusha attention zaidi. “Na kwa watu kuzungumza…unajua Jay Dee ni mtu mashuhuri, ni mkubwa sana. Kiasi kwamba kitu kidogo tu kikitokea, hata akijikwaa kinazungumzwa kwa ukubwa huo. Kwa mfano mimi nimepata shida kidogo ya kesi ya traffic, kwa hiyo nikamshauri mwenzangu asije pale polisi kwa sababu ya kuogopa tu vitu kama mapicha na nini. Kumbe watu walinotice kwamba hakuja. Kuanzia hapo ndio ikaanza ‘aah kuna tatizo..kuna tatizo’. “Lakini kwa kweli kuzungumzwa kwa msanii mkubwa kama yule ni jambo la kawaida. Na ni jambo ambalo ameshalizoea na mimi nimeshalizoea pia.” Hivo karibuni Jide alipost picha ya mkono inayoonesha pete yake ya ndoa kumaanisha uimara wa ndoa yao tofauti na kilichokuwa kikisemwa.
Posted by kifesi |
Waandaaji wa shindano la Big Brother Africa, kampuni ya M-Net na Endemol SA wametoa tamko jipya leo kufuatia kuungua kwa jumba lililotumika kuendeshea misimu iliyopita.
Katika tamko Hili ni tamko jipya la M-Net kuhusu Big Brother Afrika hilo, waandaaji hao wameeleza kuwa shindano hilo litafanyika kama lilivyopangwa na kwamba tayari wameshapata jumba jingine katika eneo lingine duniani.
“M-Net na Endemol SA wametumia masaa 48 kutafuta eneo nyumbani na hata katika nchi za kimataifa ambapo msimu wa 9 wa reality show maarufu Afrika utafanyika.
“Baada ya kutafuta namna zote, timu inayofuraha kutangaza kuwa show itaendelea kwa kuwa sehemu imeshapatikana kuhakikisha show inaenda hewani ndani ya mwezi ujao.”  Wameeleza katika tamko lao.  
Wamewashukuru mashabiki kwa ushirikiano wao wakati wa siku mbili za wasiwasi baada ya kuungua kwa jumba hilo.
Hata hivyo, baadhi ya watu wanaamini kwamba tukio hilo lilitengenezwa na waandaaji hao kwa lengo la kuvuta umakini zaidi aka ‘kiki’ kwa lengo la kuunogesha msimu huu uliopewa jina la ‘Hot Shots’.
Posted by kifesi |

CEO WA KWETU FASHION-MISS TEMEKE
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |