.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Noth
Kila ambacho mtoto mdogo anakiona huwa anahisi ni cha kuchezea, atakigusa na kufanya chochote anachojisikia kukifanya kwa wakati huo.
Mtoto wa 
Kim Kardashian
 na Kanye West anayeitwa North aliishika simu ya baba yake, akaingia nayo chooni, kisha akaflush na maji kwenye sink ya choo!

Kim Kardashian and Kanye West are spotted with their adorable baby, North West at LAX AirportKatika mahojiano na kipindi cha On air with Ryan Seacrest, Kim Kardashian amesema alisikia mtu akiflush chooni, alipoenda alikuta mwanaye akiwa amesimama pembeni ya choo huku simu hiyo akiwa tayari ameitumbukiza ndani.
Not last night, but the night before, I hear North in the bathroom and I hear the toilet flushing and flushing… I run in there and I’m like, ‘Wait a minute babe,’ to Kanye. ‘Didn’t she have your phone a second ago?’ The phone was in the toilet! I put it in a bag of rice, [but] nothing worked“– Kim Kadarshian.
Hiyo ilifanya Kanye West kukosekana hewani kwa muda fulani.
Posted by kifesi |

November 26, 2014 taarifa kubwa kutoka Nigeria ilikuwa ni taarifa ya msiba wa mzeeMoses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, P Square.
psquarep
Tangu mzee huyo afariki ni miezi miwili sasa, yamepita matukio mengi huenda tukawa tumeanza kusahau tukio hilo, story iliyoko mitandaoni kutoka Nigeria ni kuhusu ndugu pamoja na familia ya mzee huyo kuandaa mazishi yake.
Tarehe ambayo imepangwa kufanyika mazishi hayo ni January 30, ambayo ni kesho siku ya Ijumaa.
Posted by kifesi |

.
.
Kama utakumbuka siku ya Jan 28, 2015 msanii Shilole alikataa kwamba hakuna ukweli wowote kwenye story iliyoenea kwamba alimpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda, alisikika wakati wa U Heard kwenye XXL  ya Clouds FM.
Leo kwenye ukurasa wa Instagram, Shilole amepost picha na ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki wa muziki kuhusu kitendo alichomfanyia msanii mwenzake ambaye pia ni mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Hii ni kwa mashabik wangu wote nawapenda sana pili! Nawaomba radhi kwa kitendo kilichotokea juz binafsi sikupenda but ni hasira tu. Mm pia ni binadamu so kukosea ni kawaida so pili nimuombe na mpenzi wangu kwa nilichofanya! Nawapenda sana haitojitokeza tena one lv sana “@
Posted by kifesi |
salma 2Mwanamke mmoja nchini Misri ameamua kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa kuolewa.
Samah Hamdi mwenye miaka 27  alifikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na kashfa kutoka kwa watu wanaomzunguka ikiwemo familia yake hasa mama yake mzazi ambao wamekua wakimsema  kutokana na kutokua na mume mpaka sasa.
salma4Hamdi ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili alisema ameamua kutembea hivyo mitaani  na kamwe hawezi kuacha dhamira yake hiyo ikiwa kama ishara ya kupinga mila na desturi inayowakandamiza wanawake wasioolewa.
salma
Samah Hamdi akiwa anatafakari jambo huku akiwa amevaa gauni lake la harusi katika moja ya mitaa jijini Cairo
Posted by kifesi |
DSC_1077
.
Usiku wa Jan 24 ni siku ambayo waimbaji mbalimbali watanzania walishare jukwaa moja kwenye tamasha la Kiboko yao Concert lililoandaliwa na kampuni ya simu za mkononiTigo.
Miongoni mwa waimbaji waliotumbuiza akiwemo;Diamond Platnumz, Shaa, Vanessa Mdee, Joh Makini, Stamina, Young Dee, Nikki wa pili, Ben pol, Fid Q, Ay, Mwana FA, Khadija Kopa, Linah na wengineo.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tamasha hilo.
.
Shaa.
.
.
DSC_0818

.
.


.
Ben Pol.
.
Young Dee.
.
Watu wa nguvu.
.
Fid Q.
.
Young Killer.
.
Professor Jay.
.
Professot Jay.
.
.
.
.
DSC_1015
.
.
.
Joh Makini.
.
Nikki wa pili.
.
Joh Makini.
.
Nikki wa pili na G Nako wakitoa burudani ya nguvu.
.
.
.
Nikki wa pili.
.
.
.
Weusi wakitoa burudani ya nguvu.
.
Vanessa Mdee akiwa on the Stage.
.
AY akitoa burudani ya nguvu.
.
.
DSC_0065
.
.
.
.
.
.
.
Watu wa nguvu
.
Dj Mafuvu kutoka EATV akiwa na watu  wa nguvu.
.
Ay na Mwana FA on the Stage.
.
Mwana FA akitoa burudani.
.
AY.
DSC_0705
Jux on the Stage.
DSC_0696
Jux.
DSC_0664
H Baba na Mkewe Frola Mvungi.
.
Queen Darling na Kalala Junior.
.
.
DSC_0657
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kuk