.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |


Posted by kifesi |
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa tukiumiza hisia za wenzi Wetu bila kujua. Kumuumiza mtu mwingine kihisia ni ile hali ya kusababisha emotional discomfort kwa mtu mwingine kiasi cha kumfanya apoteze furaha yake. Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kupunguza hali tajwa hapo juu:

1.Jaribu kuwa na mtazamo chanya (positive attitude) juu yake. Mara nyingi mitizamo hasi juu ya mtu mwengine huweza kusababisha umuelewe tofauti mwenzio hata kama tendo alilolifanya yeye ni la kawaida tu hata kama angekuwa amelifanya mtu mwengine. Ila kwa vile tu amefanya yeye na tayari una mtazamo hasi kwake basi utamuelewa"kutokumuelewa".Hii itapelekea kumuumiza!

2. Don't be too demanding. Hili kwa wana ndoa ni chanzo sana cha kuumizana kihisia.Unapojiona una haki ya kufanyiwa kila jambo hapo ni mwanzo wa kukwazana na kuumizana kihisia. Mfano, mwanamume unapoona siku umeamka na bado shati halijanyooshwa, na mwenza wako anafanya majukumu mengine, jifunze kujihudumia na acha kulalamika kuwa hujaliwi.

Halikadhalika kwa kina dada usimgeuze mumeo "ATM " au "Punda wa kukodi" ukamtishwa kila aina ya majukumu, hata yale ambayo ungeweza kujifanyia mwenyewe matokeo yake ni mmoja kuona hawi appreciated na mwenzake na hii itamuumiza sana kihisia

3. Jifunze kuwa msikivu(good listener) na maintain eye contact pale unapoongea na mwenza wako Mara nyingi mtu unapozungumza unapenda usikilizwe, haipendezi unapoongea na mtu halafu akawa anafanya mambo mengine, utahisi umedharauliwa. 

4. Usichoke kumsoma mwenza wako. Waswahili wanasema ukimjua mbwa jina hakusumbui. Jaribu kumsoma mwenza wako na kumjua vizuri ,hii itasaidia kupunguza kumuumiza kihisia kwa sababu utajua nini ufanye na kwa wakati gani. Learn to understand his/her mood. Unaweza ukacheka mahala ambapo yeye alitarajia uoneshe huzuni ikasababisha kutoelewana na kuhisi kuwa umeshindwa "kuvaa viatu vyake"

5.Learn to let it go. Jiepushe kuweka vinyongo na visasi. Mara nyingi watu huumizana kihisia kutokana na migogoro ambayo haitokani na mgogoro ulioibuka kwa wakati huo(imediate cause) bali hutokana na yale yaliyorundikana mda mrefu(basic causes), hivyo immediate causes huwa sababu tu ya "kuwasha moto".achana na ule msemo "ukimwaga mboga namwaga ugali"

6.Usiwe mjuaji sana. Kuna watu wengine yani yeye hujifanya ni mjuaji wa kila kitu na kila asemalo au afanyalo mwenzie basi hajui au amekosea. Hii inakwaza kwa mwenza wako, na humfanya ahisi unamdharau na huheshimu maoni yake au kile afanyacho.

7.Onesha upendo kwake, usiishi kwa mazoea. Unapoonesha upendo kwake unakuwa unafanya uwekezaji mahaba juu yake na humuondoshea madoa ya yale uliyomfanyia katika makosa. Usiwe wewe ni receiver kila siku, jitahidi nawe uwe giver katika kuonesha upendo. Hapa sizungumzii pesa ,nazungumzia kuonesha upendo.

Mfano:Isiwe kila siku wewe ndio wa kuitikia "i love u too", "I miss u too", jenga utamaduni wa ushindani kuwa wewe ndio uwe wa kwanza kusema kila siku na sometimes mtanie kuwa umemshinda ili na yeye nae kesho ajitahidi awe wa kwanza just make it as a 
funny
 game lakini inaboresha ndoa yenu.Hili ni muhimu mno na ndio mana nimeliweka mwisho ili mlikumbuke sana.

8.Ongezea

Posted by kifesi |


Wakati akihojiwa na Clouds Fm kipindi cha leo Tena alipoulizwa anachopenda zaidi kwa Zari ni kitu gani? 

Alifunguka kuwa anachopenda ni tabia ya Zari ya kujielewa. Akaendelea kufunguka Zari anajua kutofautisha maisha yao halisi na maisha ya instagram. Kwani baada ya maisha ya instagram ya mapichapicha anajua kuwekeza kwa ajili ya kesho na ni mshauri wake wa mipango ya kimaendeleo. 

Pia anasema anazimia ngozi yake Zari Ile mbaya. 

Kasema mtarajie mtoto na atakuja kwenye social media kuwaomba mmchagulie Jina siku zikifika maana huyu ni mtoto wa kitaifa. 
Posted by kifesi |

Kabla na Baada
List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha....

Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

shalifanuhu
Wao umenaga

ugly73
Lakini napenda SAUTI yake .. Sasa sijui bado ipo AU imekua kama YA Recho kizunguzungu... Shuti kuimba kwa

anney09kavishe
Hata wanaume wanahangaika na mkorogo jaman lol

amosemma
Ha ha ! Natural ndio mpango mwanaume hvo aibuu.

mayna_pemba
Wakaka wanataka kufanana na dada zao
Posted by kifesi |

Posted by kifesi |

DJ mkongwe na Mkurugenzi wa EFM, Majay na
mwanamitindo Hamisa Mobeto wamepata mtoto wa kike.
Mobeto alipokuwa mjamzito
Hamisa amejifungua hivi karibuni.
Kupitia ukurusa wa Instagram, Jokate ameandika: This is
such a beautiful pic. Hongera kwa kujifungua
Hamisamobetto … God bless.
Posted by kifesi |
dAI
Kwenye Leo Tena alikuwepo Diamond Platnumz pamoja na meneja wake, Babu Tale.. kama kawaida ya show ya Leo Tena pale huwa ni story nyingi nyingi zinakuwa zinaendelea, lakini Diamond nae akashea na watu wake kuhusu HEKAHEKA aliyowahi kukutana nayo.
Kulikuwa na maswali pia ambayo ilibidi Diamond ayajibu, mengi yalitoka kwa wasikilizaji wa show hiyo.
Ikaulizwa kuhusu tetesi za yeye na Meneja wake Said Fella kuwa na ugomvi, kisa vijana wa Yamoto Band hawajanunuliwa magari? Jibu la Diamond ni hapana.. hakuna ugomvi wowote, Babu Tale akasema mipango ya Management yao ni kufanya mengi mazuri kwa vijana wa Yamoto Band.. HAKUNA UGOMVI!
Likatupiwa swali la umri wa mpenzi wake Zari je? akajibu kwamba ni miaka 34 tu.
Ikaja sasa time ya kusikiliza Hekaheka aliyowahi kukutana nayo wakati anaanza muziki.. amesema alikuwa anapenda sana kuimba wimbo wa Z Anto wa ‘Binti Kiziwi’ .. wengine waliamini yeye ndio Z Anto mwenyewe, ikatokea msichana akampenda akijua anayempenda ni Z Anto.. baada ya video ya Z Anto kutoka watu wakamjua kwamba sio yeye ilibidi asiendelee kukatisha maeneo hayo.
Wengine waliuliza kama wimbo wa ‘Nasema Nawe’ ni wimbo alioimbiwa mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu..  nalo Diamond kalijibu, amesema huo wimbo hajaimbiwaWema.. Ila aliuimba wakati akiwa na Wema… Hiyo ni burudani ambayo imezoeleka na wanawake wa uswahilini kwa hiyo kaona nao awaimbie.
Amekataa kuwa na ugomvi wowote na Ommy Dimpoz, na wala hajawahi kukutana naWema tangu walipoachana.
Kuhusu ujauzito wa Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto mwezi wa saba au wa nane hivi.
Utayasikiliza yote hayo hapa chini mtu wangu, play..