.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |


Posted by kifesi |
1170077_216447715233225_272121298_n
 kupitia mtandao wa kijamii wa instagram kwenye akaunti ya Tid alipost picha iliyokuwa na maneno >>’Listen to this mix….once again from @lamarfishclub’ ni wimbo ambao ameurudia kwa mtindo anaoufanya Lamar kwa sasa zile Refix.
Baada ya kuweka picha hiyo mmoja wa watu waliotoa maoni yao au comments kwa picha hiyo ni mwanamuziki Ray C ambaye aliandika maneno haya yaliyooneka kumkera TID
tid
Ray C ameandika “Come let’s talk Tid u are the best musician in East Africa please lets talk” maneno haya hakuna aliyejua Ray C anachomaanisha lakini cha kushangaza na ambacho kimeibua maswali ni jinsi TID alivyojibu comment hiyo.
Leo kupitia kipindi cha Xxl Tid ameelezea sababu ya kuandika hivyo ambapo amenukuliwa akisema “Mimi kama kuna mtu ananitafuta hawezi kunitafuta kwenye instagram, sijawahi kuwa na matatizo na Ray C sijamuona nina kama miaka 5 hivi”
“Hivi Ray C anataka kukutana na mimi nini anataka kuongea na mimi mbona hajanitafuta miaka yote ananitafuta sasa hivi mimi sijapenda sasa nakutuma wewe mwambie jamaa hataki kuonana na wewe”
“Sitaki kuongea nae, sitaki kukutana nae akaongee na ma boyfriend wake ambao anafanya nao vitu vibaya, mimi si wa namna yake aniache na familia yangu anaiche na mama yangu”
Posted by kifesi |