.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |



Kuwafanyia Ihsani Wazazi
Allah sub-hanahu wa ta’ala amesema:
Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata uff (yaani ah kwa wazungumzaji wa Kiswahili) Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima. (17:
Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyo nilea utotoni. (17:24)
Maneno Muhimu
Rabb: Ni Mola aliyeumba na aliye mlezi wa vyote Ulimwenguni, Allah ‘azza wa jall.
kuwafanyia wema wazazi wawili ni amri ya Allah ambayo mara nyingi huja baada ya kuzungumzia kuabudiwa kwa Allah na kuepuka shirk.
Amesema Abu Bakrah radhi Allahu ‘anh: Tulikuwa pamoja na Mtume salla Llahu ‘alayhi wa sallam akasema mara tatu: “Nikuambieni kuhusu madhambi makubwa; Kumshirikisha Allah, kutowafanyia wema wazazi wawili na kutoa ushahidi wa uongo au kusema uongo…”
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
Posted by kifesi |
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/nyota.jpg
Posted by kifesi |
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjzQ9wWL9HlEkzTm0VZ_578YRC9QDPGlaCi6JtEg2x0xj4Jvbgs5IfQVVaNn2Lih8dr-zfK0bjez9PawyoB2dXa8UtptG7C9owd7bZj7qYEvy61YLBHBvTjDwdlz6iVAxgYrurvF-VH2OQ/s400/mavoko.png
Posted by kifesi |


http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/1599399_1441572369443466_260755381_n.jpg
Wadau wa mziki toka Marekani,Terrence j,Chaka zulu na David banner,baada ya kutoa semina kwa wasanii wa Tanzania ..wameanza kutembelea hifadhi za Tanzania na kujionea nchi yetu ilivyobarikiwa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/10520354_829361793742059_1316314398_n.jpghttp://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/x.jpghttp://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/Terrence-J-David-Banner-na-Chaka-Zulu-wakiwa-kwenye-gari-la-safari.jpg
Posted by kifesi |
chris-brown-new-do
Posted by kifesi |

unaambiwa hawa wamejikusanya wamevaa na sare kabisa kwa ajili ya kwenda kumsuta mtu mmoja. Kama haitoshi inshu ni kwamba wamekodi hadi matarumbeta wamewalipa kwa ajili ya kwenda kumsuta tu mtu mmoja,sikiliza kupitia Hekaheka ya July 16.
Posted by kifesi |
Nuh-Mziwanda