.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Posted by kifesi |
Kaingia kwenye HEADLINES za Magazine kubwa duniani, BLACK ENTERPRISE ambao wamefanya nae exclusive interview, mengi kayasema hapa mengine hata sikuwahi kuyajua kutoka kwake.. kumbe ishu ya kuingia kushiriki Miss Universe hata hakuwa na idea ya kitu anachokifanya, aliingia kwa kujifurahisha tu !!
Kingine alichokiongea ni ishu ya Flaviana Matata Foundation, taasisi ambayo aliianzisha kwa ajili ya kusaidia wasichana yatima kwenye masuala mbalimbali ikiwemo mahitaji muhimu ya Shule.
Flaviana
Niliwahi kumuona marehemu mama yangu akisaidia watoto wengine kuwapeleka shule.. Nilikuwa mdogo sana lakini alikuwa akituambia na ndugu zangu umuhimu wa kusaidia watu ambao wanahitaji msaada.. Nilianzisha FMF kwa ajili ya kuendeleza moyo wake wa kujitolea..“– Flaviana Matata.
Jitihada nnazozifanya kusaidia wasichana kupata elimu itakuwa ni kitu ambacho kila mtu anaweza kukipongeza..“– Flaviana Matata.
Posted by kifesi |
Jay-Z and Beyonce sit courtside at the Brooklyn Nets game against the Houston Rockets

Rapa maarufu duniani Shawn Correy Carter amemkera mke wake Beyonce kwa kitendo cha kuwa na mawasiliano binafasi na mwanamuziki ambaye Jay anasimamia kazi zake Rihanna .
Jay Z ambaye anatajwa kumiliki simu tofauti za mkononi ana simu maalum ambayo Ni Rihanna peke yake ambaye ana namba ya simu hiyo na watu walio karibu na rapa huyo na mkewe wanadai kuwa Beyonce amekerwa na kitendo hiki .
Vyanzo vya story hii vimedai kuwa Rihanna ana uhuru wa kumcheki Jay Z kwenye simu muda wowote na japo mawasiliano yaliyopo baina yao ni ya kibiashara na kikazi zaidi , Beyonce amekuwa hapendezwi na ukaribu huu uliopo baina ya watu hawa wawili japo hawezi kufanya chochote .
Jay-Z amekuwa na mawasiliano ya karibu na Rihanna ambayo yanamkera mkewe Beyonce.
Jay-Z amekuwa na mawasiliano ya karibu na Rihanna ambayo yanamkera mkewe Beyonce.
Jay Z inadaiwa anakatisha mazungumzo au shughuli yoyote anayoifanya wakati akipigiwa simu na Rihanna na wakati mwingine amekuwa akiacha hata kula ili tu azungumze na mrembo huyu na mar azote mazungumzo yao huwa marefu kuliko kawaida .
Story nyingine zinadai kuwa Beyonce na Rihanna wamekuwa hawazungumzi kwa muda mrefu na Beyonce amekuwa akimkwepa Rihanna katika hafla tofauti zinazowakutanisha karibu
Posted by kifesi |

Posted by kifesi |


james-cameron-screw-you-guys-255B1-255D
Titanic ni moja kati ya movie iliyopendwa na bado inapendwa hapa Tanzania lakini kuna mengi yawezekana huyajui kuhusu movie hii.
James Cameroon ndio aliyedirect movie hiyo1.Katika hatua za mwanzo za production hii movie waliiita ”Planet Ice”.
2.Ilikuwa ndio movie iloingiza pato kubwa katika box office history,ikiinngiza takriban US$1.8 billion but baadae ilipitwa na Avatar. Hizi filam mbili zote ziliongozwa na James Cameron
3.Mwanzoni budgeted ya movie ilikuwa $135,000,000, but schedule iliporefushwa kwa miezi miwili zaidi waliiomba kampuni ya Paramount Pictures kuongeza $65,000,000
4.Baada ya kumaliza Terminator 2: Judgment Day, James Cameron alijiwa na wazo baada ya kuangalia movie ya A Night to Remember.Alikaa chini na kufanya research ya miaka mitano kuhusu meli ya Titanic na yaliyoisibu5.Kate Winslet ni mmoja kati ya actors walokataa kuvaa nguo ya kuogelea katka scene ya majini,matokeo yake alipata pneumonia
6Movie ilikuwa namba moja katika U.S. box office kwa wiki 15 mfululizo,kuanzia 19 December 1997 mpaka 2 April 1998.
7.Mkono ulokuwa ukionekana ukimchora Rose sio waLeonardo DiCaprio‘s, ila ni wa director James Cameron‘s. Katika editing baadae, Cameron, ambae anatumia mkono wa kushoto,walitumia technique ya kuipindua shot kwa kiyooo(hapa watu wa editing ndo wanaelewa zaidi)ili ionekane ni mchoraji alikuwa anatumia mkono wa kulia,kama DiCaprio.
8.Hii ni movie ya kwanza kuwa filmed katika Fox Studios Baja.
9.Katika scene ambayo wazee wawili wapenzi wanakumbatiana kitandani wakiwa tayari kufa pamoja wakati meli inazama na maji yashaanza ingia chumbani kwao na kuanza sambaa chini ya kitanda,mtunzi hapa anawatumia hawa wahusika wawili kuelezea kilichotokea kwa wamiliki wa Macy’s department store ya mjini New York; Ida and Isidor Strauss.Hawa walikuwa ni wapenzi wawili walokufa katika Titanic in real life. Ida alikuwa offered a seat on a lifeboat but alikataa ili akae na mume wake,Ida alitamka maneno haya, “As we have lived together, so we shall die together.”Scene inayoelezea hili tukio ipo moment, ila ilikatwa,unaweza iona katika Special Collecters DVD
10.Hii ndio the expensive movie kuwa filmed katika karne ya 20
11.Katika movie,wakati engine master anasema “All ahead full,” kuna mtu aliskika akipiga yowe , “All ahead full!” katika background. Hiyo ilikuwa sauti ya director James Cameron
12.James Cameron ndo alichora picha zote katika movie
13.Baada ya kujua atasimama uchi mbele ya Leonardo DiCaprio, Kate Winslet aliamua kuwekaa aibu pembeni,walipokutana kwa mara ya kwanza ali smile kidogo na kuangalia pembeni
14.Christian Bale aliomba nafasi ya kucheza katika moja ya nafasi muhim ila James Cameron alikataa,hakuwa anataka waigizaji wawili wa kiingereza wacheze nafasi muhimu zote katika hii movie
15.Gwyneth Paltrow alikuwa akiimendea nafasi ya kucheza kama ROSE but Kate Winslet ndiye alipata
16.Hii ilikuwa ni film ya kwanza kuwa released katika (DVD/VHS) wakati bado inaoneshwa katika nyumba za cinema
17.Mwishoni mwa movie wakati Rose anakutana na Jack ktk Grand Staircase, muda ulokuwa unaonekana katika saa ya ukutani ndo muda halisi meli yenyenyewe ya Titanic ilipozama
18.Hii ilikuwa ni film ya kwanza James Cameron kudirect bila ya neno ”nuclear weapons” kutotajwa
19.James Cameron alikutana na mke wake wa tano, Suzy Amis, katika hii film. Of all his marriages jamaa hii ndo ilidumu mda mrefu.
20Nicole Kidman, Madonna, Jodie Foster, Cameron Diaz and Sharon Stone hawa wote walikuwa wakifikiriwa kucheza part ya Rose.
21.3-D ya hii movie itatolewa April 2012, ikumbukwe huo ulikuwa ni mwezi ambao meli yenyewe ya the RMS Titanic ilianza safari miaka 100 ilopita
22.Hii ilikuwa ni movie ya kwanza kuwa na budget ya $200,000,000.
23.Sehem kubwa ya waigizaji walikuwa wakiruka baharini maji yake yalikuwa na kina cha 3 feet deep.
24.Katika scene ambayo maji yanapiga milango kwa nguvu , James Cameron alisema Galoni 40,000 za maji zilikuwa hazitoshi kujaza korido zile,akaagiza mara tatu yake
25.James Cameron alikuwa mbishi ku kuingiza nyimbo yoyote katika hii movie.Mtunzi James Horner akiwa na lyricist Will Jennings pamoja na CĂ©line Dion waliandika nyimbo ya “My Heart Will Go On” kwa siri kubwa na kurecord demo tape, then wakaipresent kwa Cameron. Nyimbo ilishinda Oscar.
26.Gharama ya hii movie($200) ni kubwa kuliko gharama ya meli halisi ya Titanic($150 million)
27.James Cameron alikatwa $8 million kama sehem ya salary yake baada ya studio kukerwa na fact kwamba movie ilienda over budget