.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Ciara hivi sasa ana ujauzito 
unaokaribia miezi 
tisa na anatarajia

 kumpata mtoto wake wa kwanza na rapper
 Future. Mwimbaji huyo ameonekana akifanya mazoezi ya kukimbia
 kujiweka fit kiafya Jumanne (May 13),
 huku akiwa amevalia nguo inayombana
 na kuchora vyema tumbo lake. Bado
 mwimbaji huyo hajaweka wazi jinsia ya mtoto
 wanaetarajia kumpata na mchumba wake.

0 comments:

Post a Comment