
Alianza na mwezi march alipowin tuzo za juu duniani .Oscer,tukiacha tuzo lukuki alizoshinda baadae,lakini juzi kati kapata mchongo wa kushiriki kwenye movie maarufu ya STAR WARS,na sasa kapamba cover ya jarida maarufu zaidi duaniani,VOGUE..Mungu ampe nini sasa!!!Hongera Lupita..ni wakati wako huu
0 comments:
Post a Comment