.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
browb
Chris Brown anakaribia kutoa album yake mpya ambayo imechelewa kutoka kwasababu ya kesi zake mahakamani. Lakini hivi karibuni ilisemekana kwamba ameachana na girlfriend wake Karrueche, lakini hivi sasa story mpya ni kwamba Chris Brown amepost picha akiwa na Karrueche kwenye ukurasa wake wa instagram.
Cha kujiuliza ni je  hawa wawili wamerudiana au ni drama za promotion ya album ya Chris Brown.

0 comments:

Post a Comment