Baada ya kuongelea manukato yake kwa muda wa mwezi mmoja sasa Rihanna
yupo tayari kuweka sokoni bidha hii mpya,Wale wa Rihanna Perfume hii
mpya inaitwa Rogue Man na inatoka September. Rihanna akiongelea perfume
hii amesema “Inamanukato mazuri sana mpaka wanawake watakuwa wanaiba T
Shirt za wanaume wao”



0 comments:
Post a Comment