.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Yaani haya ndo mambo niliyokuwa naongelea jana jamani wanawake tuamke tusikubali mambo hayo mtu anekupenda hawezi kukufanyia unyama kama huu no matter what. #SayNoToDomesticViolence#WomenStandUp. By @usipojipangantakupanga: "Huyu
 dada alimfumania mumewe....matokeo yake mwanamke kapigwa na mumewe!.wanaume wakatili sana kwanza kamkosea mke wake kwa kumsaliti ...pili kapema kipigo kana kwamba yeye ndio kafumaniwa....jana hiyo...dada yupo hoi hospitali ya mwananyamala.....sasa kama wewe ndio huyu dada je ukipona utarudi kwa mume au utafanyaje??
CRDT:#JestinaGeorge

0 comments:

Post a Comment