.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Ana miaka miwili tu, lakini North West ameanza kuhudhuria fashion show za kimataifa tena katika mstari wa mbele. Weekend iliyoisha, mtoto huyo wa Kanye West na Kim Kardashian ameshuhudia cat walks za warembo mbalimbali akiwemo mama yake mdogo, Kendall Jenner kwenye Paris Fashion Week na pia kwenye show ya Givenchy jijini Paris, Ufaransa.
Hata hivyo katika picha nyingi, North alionekana kutofurahishwa na huenda alikuwa anataka kwenda kulala kama watoto wengine wa umri wake? Ni sawa kwa Kanye na Kim kumpeleka mtoto wao kwenye show za aina hiyo tena usiku kwa umri wake? 
1411944604329_wps_81_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411934292736_wps_5_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411934421749_Image_galleryImage_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411934423177_wps_13_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
(crdt-bongo5)

0 comments:

Post a Comment