.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |


Story mjini ni kwamba Wiz Khalifa ameokana akila good 
times  mrembo Sara Dajstani ambae ni model na inasemekana 
kwamba ndio mpenzi wake mpya baada ya kumwagana na Amber.siku chache zilizopita.
Wawili hawa walionekana pamoja kwenye ‘bata’ huko 
Hollywood Marekani Jumanne ya wiki hii ambapo japo 
hawakukamatwa na camera wakiwa kwenye picha 
ya pamoja,  walikuwepo pamoja ndani na hata kuondoka waliondoka pamoja

http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/10/Wiz-Khalifa-2.png

0 comments:

Post a Comment