.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
http://tourismupdates.com/wp-content/uploads/2014/05/hawaii-wallpaper-1920x1080wallpapers-hawaii-free-cool-and-for-your-or-1920x1080-et9ihujr.jpg
sehem ya kisiwa cha hawaii
Ukiwa na pesa hapa duniani bila shaka hakuna 
utakaloshindwa kulifnya kulingana tu na ulefu wa pesa yako,sikia 
hii,,Mmiliki wa mtandao mkubwa wa kijamii Facebook
 Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai kwa 
 dola za Kimarekani milioni 100 jarida la Forbes limeripoti.
Eneo hilolitajumuisha beach resort, mashamba ya miwa na
 kilimo hai ambapo kwa sheria za Hawaii beach resort hiyo
 lazima iachwe wazi kwa matumizi ya jamii kwa
 sababu kisiwa hiko hakina sheria ya umiliki binafsi wa mchanga.
Zuckerberg anakua ni bilionea wa pili kununua sehemu ya 
Hawaii. Mwaka jana mwenyekiti wa Oracle 
Larry Ellison alinunua upande mzima wa Lanai, Hawaii kwa dola milioni 600

0 comments:

Post a Comment