.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |



10711083_1062715290409555_7336867001440902865_n
Taarifa ambazo zimetoka muda mfupi uliopita zinasema kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ asubuhi ya leo October 29 amepata dhamana baada ya kutimiza masharti yaliyotolewa.
Chid Benz alipandishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana October 28 na kusomewa mashtaka matatu yaliyokuwa yakimkabili ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya,kesi yake inatarajiwa kusikilizwa tena October 11 mwaka huu 2014.
Source:Globalpublishers.com

0 comments:

Post a Comment