.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
.
.
Diamond Platnumz ndio alikua msanii pekee wa Tanzania aliekua akiwania tuzo za Channel 0 2014 zilizotolewa November 29 usiku hapa Johannesburg South Africa ambako alishinda tuzo tatu kati ya nne alizokua anawania.
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo kutolewa? Diamond alivyopita na Watanzania wengine? endelea kutazama hizi picha hapa chini.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Fally Ipupa
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_1177
.
.
.
.
.
.
.
.
mwimbaji Donald wa South Africa kwenye interview na mtu wako wa nguvu Millard Ayo
.
.
.
Dream team, wakali wa muziki kutokea Durban Afrika Kusini kwenye interview na AyoTVna millardayo.com
.
.
.
.
.
Sauti Sol kwenye interview na millardayo.com na AyoTV
.
.
.
.
.
Mwimbaji/Mtangazaji Vanessa Mdee kutoka Tanzania akiwa na Victoria Kimani na Yvonne kutoka Kenya.
DSC_1249
Victoria Kimani on AyoTV
.
Diamond Platnumz kwenye interview na millardayo.com na AyoTV
.
.
.
Ujazo wa jina la Diamond umeongezeka sana, kwenye red carpet alifanya interview na vyombo vingi vya habari kutoka kona mbalimbali za Afrika
.
Mama Diamond, Diamond mwenyewe pamoja na Zari.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Diamond akiwa na mameneja wake Bab Tale na Said Fella
.
.
.
.
.
Bab Tale, Diamond na Said Fela wakiwa kwenye picha ya pamoja na staa wa muziki kutoka Nigeria Kcee.
.
.
DSC_1348
Zari, meneja Salam, Diamond na mama Diamond wakiwa wanaingia kwenye tuzo za Channel O
.
.
.
.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia

3 comments:

  1. Dai anaumia sana kwa kuachana na Wema,kila dakika anajionyesha na Zaitun. ni ujinga ulopitiliza...

    ReplyDelete
  2. HAWANA MUDA MREFU WATAACHANA, MTOTO WA TANDALE ANAJULIKANA...CHOVYA CHOVYA

    ReplyDelete
  3. Kweli shule muhimu, Almasi limbukeni sana, kazoa mpaka gubegube liloshindikana???

    ReplyDelete