.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kuna usemi usemao kuwa kama wanaume wangechukua nafasi ya wanawake kuzaa watoto, leo hii kusingekuwa na binadamu. Na sasa uchungu wanaoupata wanawake wakati wa kuzaa unaweza kuonjwa na wanaume nchini China.
1415134673895_wps_2_Pic_shows_Man_uses_an_ele

 Hospitali moja kwenye mji wa Jinan uliopo kwenye jimbo la Shandong, linawaonjesha wanaume kwenye kifaa maalum ‘childbirth simulator’ ili kujionea wenyewe kile wake zao huwa wanakutana nacho wakati wa kujifungua. 
 1415136362038_wps_7_Pic_shows_Man_is_crying_a
Machozi yakimtoka mwanaume aliyewekewa mashine ya uchungu wa kuzaa
 
 Watu wengi wanaojitolea kuwekewa mashine hiyo ni waume au wachumba wa wanawake wenye ujauzito. Mwanaume akisikilizia maumivu makali kama wayapatayo wanawake wakati wa kujifungua Hospitali hiyo imesema inataka kuwaonesha wanaume jinsi wanawaarticle-2626363-1DC5C28400000578-840_634x432
ke wanavyoteseka wakati wa kuzaa ili wanaume waheshimu kile wanawake wanakipitia. Wanaume wengi katika zoezi hilo walilia na wengi waliweza kuhimili maumivu hayo kwa dakika chache tu

0 comments:

Post a Comment