.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Ommy-DPicha hizi zilisambaa miezi michache nyuma ambazo zilikua zikimuonyesha Ommy Dimpoz kama katoka kijijini amekuja mjini,zilizua maswali mengi sana na baadae alisema zilivuja maana zilikua zikihusu tamasha la Serengeti Fiesta.
Video yake imeongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,ndani ya video hii yupo

pia
mrembo Jokate ‘Jojo’ ambaye wanaonekana kwenye treni wakisafiri,hii ni remix iliyopigwa ki midundo ya mchiriku zaidi baada ya ile ya kwanza,humu kashirikishwa Msaga Sumu.


0 comments:

Post a Comment