.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Septemba 21, 2013 ni moja ya siku ambazo zina kumbukumbu nzito ya majonzi kwa watu wa Kenya, kutokana na kupata shambulizi la kigaidi liliposababisha vifo vya watu zaidi ya 60 huku hofu kubwa ikitanda na kupelekea baadhi ya maeneo ambayo huwa na mkusanyiko wa watu wengi Afrika Mashariki ikiwemo Mlimani City Dar kuwekwa ulinzi wa hali ya juu.
Taarifa inayomhusu mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la WestgateSamantha Lewthwaite ni kwamba ameuawa kwa kupigwa risasi.
White Widdow
Samantha Lewthwaite
AP_kenya_mall_attack_jt_130921_16x9_992
Hii ni wakati wa shambulio la Westgate.
Taarifa zinasema mtuhumiwa huyu ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.
Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya mwaka 2013 japo matukio hayo mengi haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake.
CRDT:MILLARDAYO

0 comments:

Post a Comment