.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by Unknown |
Usiku wa jana kuamkia leo palikuwa hapakamatiki katika sherehe ya mkongwe Dully Sykes palijaa kila aina ya wasanii na raha ilikua zaidi pale wasanii wakongwe waloanza na Dully Sykes kuwepo, kwa kweli ulikuwa ni usiku wa kukumbukwa na wenye kila aina ya raha na kukukumbuka mengi yaliyowahi kutokea ndani ya muziki wa bongo fleva na hizi ni miongoni mwa picha zilizojiri ukumbini hapo...









0 comments:

Post a Comment