.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
wema sepetu
Mashabiki wa Wema Sepetu wameamua kuvaa miwani za mbao na kumfanyia udalali wa mapenzi boss wao kwa aliekuwa mme wa le project Zari the bosslady bwana Ivan, amsha amsha hizo zimeanza punde tu baada ya wema mwenyewe kuanza kumfollow Ivan.
maskini baba wa watu hadi kishapachikwa jina eti aitwa Ivanwema
Hii ni zaidi ya mwaga mboga nimwage ugali….Team Wema imeamua sio tu kumwaga ugali ila kutoboa sufuria na kuzima mato ili pasipikwe kabisa, 






0 comments:

Post a Comment