.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
nai 3
Karrueche Tran amethibitisha kuachana kabisa na msanii Chris Brown baada ya kugundulika kuwa Chris ni baba wa mtoto mwenye miezi tisa na mwanamitindo Nia.
Karrueche ametumia Twitter jumatano ya March 4 kusema wazi kuwa amechoshwa na kila anachofanya Chris na anawatakia maisha mazuri Chris na familia yake. “Listen. One can only take so much. The best of luck to Chris and his family. No baby drama for me,”  .
Inasemekana Chris Brown amezaa na mwanamitindo Nia ’31’ anayeishi  Texas .
Tmz imeripoti kuwa Karrueche na Brown waligombana sana wiki iliyopita na kwamba Chris alijaribu sana kumpigia simu ila Tran hakupokea.Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa ni mtoto wa Chris Brown na kwamba ni kweli alitoka na Nia wakati yupo na Tran, Nia na K Tran ni marafiki.

0 comments:

Post a Comment