.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kanye West 2

Rapa 
Kanye West
 amechorwa tattoo mpya kwenye mikono yake miwili, Tattoo hizo amechorwa Ijumaa Feb. 27 akiwa mjini London na mke wake
Kim Kardashian
. Kanye amechorwa siku za kuzaliwa za marehemu mama yake Donda na mtoto wake  North West.

Tattoo zimechorwa kuwa lugha ya kirumi , tunaona tarehe June 15, 2013 birthday ya North na July 12, 1949 birthday ya marehemu mama yake Donda aliyefariki mwka 2007.

0 comments:

Post a Comment