.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
1689Duniani kote wataalamu wanaangalia namna ya kubuni teknolojia itakayosaidia kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa, mpshi wa viwanda, magari vinatajwa kama vyanzo vya tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa.
Jaribio linafanywa sasa hivi likifanikiwa basi huenda historia ikaingia kwenye ukurasa mwingine, ndege inayotumia umeme wa nguvu ya jua imeanza safari ambapo tayari imeruka kutoka Abu Dhabi.
2011_04_06_Solarfirstflight2011_jrevillard_-30Ndege hiyo ina kiti kimoja ina mabawa yenye ukubwa kama wa ndege ya kawaida na uzito sawa na gari, mabawa yake yana solar panels ambazo zinasaidia kunasa nishati ya mwanga wa jua.
sunseeker_duo1-537x300
Solar-Impulse-2-b
solar-impulse-2-first-sunbath-tilt-shift
Ndege hiyo ina betri zinazohifadhi nguvu ya umeme wa jua kutoka kwenye jua na hivyo itaweza kusafiri hata usiku, Andre Borschberg ndio rubani anayerusha ndege hiyo katika safari ya miezi mitano kuizunguka dunia, ambapo inakadiriwa umbali atakaosafiri ni zaidi ya Kilometre 35,000.
Ndege hiyo inasafiri na ujumbe wa kuhimiza uwekezaji kwenye Teknolojia salama ambayo ni rafiki kwa mazingira na ikifanikiwa kumaliza safari yake itaingia kwenye rekodi za kuwa ndege ya kwanza inayotumia nishati ya jua kusafiri duniani.

0 comments:

Post a Comment