.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Kitu kibaya zaidi kinachokosewa na wanadamu wa nyakati hizi kwenye mapenzi ni kwamba wanapingana na haja za nafsi zao na wanafuata msukumo wa matamanio ya viungo vyao vya uzazi,unapomuoa mwanamke kwa sifa ya kujua kukata mauno unakosea kwa kuwa si kila muda utahitaji  kukatiwa viuno kwenye ndoa.
kuna kipindi utahitaji ukarimu wa mumeo wa mumeo ili uweze kufurahia maisha ya ndoa na pia kuna kipindi utahitaji tu busara za mkeo ili uweze kuikamilisha furaha yako kwenye ndoa.



Tunapochagua wenzi wetu wa maisha tusiangalie sababu za kimatamanio kwani vile vitu vilivyokuvuta kwake baada ya muda utaviona vya kawaida na utamuhitaji yeye kama yeye na sio sababu ya vile alivyo navyo na hapo ndipo yanapo simama mapenzi halisi kwa maana ya mapenzi na kamwe hawezi kuwa si size yako na wala hata kupwelepweta bure,kwani mapenzi yenu yenye nguvu yataziba kila mahala penye tundu ya usaliti.

\

0 comments:

Post a Comment