.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Groom Tries Drowning Himself After Seeing Ugly BrideJamaa alijipanga mwenyewe ili aachane na maisha ya ukapela, ndugu jamaa, marafiki wakakutana ukumbini kwa ajili ya kusherehekea ndoa yake.. kilichotokea kiliifanya siku hiyo kuwa katika historia ya matukio ambayo sio mazuri kwake.
Bwana harusi huyo Kang Hu wa China aliwashangaza wageni waalikwa kwenye harusi  yake baada ya kukutana na bibi harusi, Na Sung kwa mara ya kwanza siku ya harusi yao, lakini hakuvutiwa na sura yake na kuamua kutamka kwamba hajavutiwa na muonekano wa bibi harusi huyo.
Sherehe hiyo ilivurugika, jamaa akatoka kwa aibu, akatoka nje kwa hasira na kwenda kujitupa kwenye mto uliokuwa karibu na ukumbi huo katika mji wa Shiyan, watu waliokuwa wakipita karibu na mto huo walimuona na kutoa taarifa Polisi ambao walifika na kumuokoa.
Groom Tries Drowning Himself After Seeing Ugly Bride
Pal Chan Wang aliyekuwa kwenye sherehe hiyo amesema familia ya Kang ndiyo ilikuwa imemchagulia mwanamke huyo na kumlazimisha kumuoa lakini hakuwa chaguo lake wala hakuwahi kumuona kabla ya siku ya ndoa, hii sio mara ya kwanza kutokea tukio la harusi kuvunjika siku ya ndoa.
Groom Tries Drowning Himself After Seeing Ugly Bride


Groom Tries Drowning Himself After Seeing Ugly Bride
CRDT;MILLARDAYO.COM

0 comments:

Post a Comment