.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Shetta 2Usambazaji wa picha kwenye mitandao siku hizi umekua na nguvu kubwa sana, picha inaweza kusambazwa ndani ya dakika 20 ikabadilisha mambo mengi sana kwenye maisha tunayoishi.
Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shetta ambaye alikuja kwenye studio za Millard Ayo na kukubali kuweka wazi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ambayo haina hata miaka mitano.
Unataka kuona alichosema kuanzia mwanzo mpaka mwisho? unataka kuona picha ya zawadi aliyomnunulia mke wake na bado akaikataa? bonyeza play hapa chini..


credt- Millard Ayo.com

0 comments:

Post a Comment