.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Howard University yamtunuku P.Diddy shahada ya uzamivu ya heshima
Mwanahip pop tajiri zaidi duniani, Sean Combs aka
 Puff Daddy/P.Diddy amepiga hatua kubwa ya heshima
 baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu 
‘doctorate’ na chuo kikuu cha Howard,

 Jumamosi (May 10). Rapper huyo alionekana mwenye 
furaha sana tangu akiwa njiani kuelekea
 kwenye sherehe hizo  Dr. Sean Combs alipost jumbe
 mbalimbali akieleza jinsi chuo kikuu hicho kilivyoyabadilisha
 maisha yake kwa ujumla na kuwatia moyo watu wengine pia.
 “Howard University didn't just change
 my life--it entered my 
soul, my heart, my being and my spirit…
Nobody is going to
 invite you to the front of the line, you got to push
 your way to the front of the line.”
 Kwa mujibu wa Billboard, rapper huyo aliwahi kusoma
 Howard University hapo awali akichukua masomo ya 
biashara lakini aliacha chuo mwaka 1990
 baada ya kusoma miaka miwili tu. Dr. Sean Combs
 alitunukiwa shahada hiyo Jumamosi pamoja na
 mtangazaji wa CNN Wolf Blitzer, daktari wa
 upasuaji Clive Callender, na mpiga saxophone Benny
 Golson na Co CEO wa Pepsi, Indra Nooyi. “Tunayo 
heshima kuwa na Mr. Combs kama msemaji
 wetu. Alikaa kwenye madarasa ambayo wanafunzi 
wetu wanakaa, alitembea umbali, na kama wanafunzi wengi
, spirit yake ya ujasiriamali ilisambaa Howard.” Alisema
 Wayne Frederick ambaye ni rais
 wa Howard kwa muda 
huu. “Ain’t no homecoming like a Howard homecoming…
and it feels so goog to be home.” Alisema 
Diddy wakati akitoa hotuba baada ya kupewa degree ya
 humanity. Inawezekana rapper huyo akabadili tena jina la
 career yake ambalo mwezi March alilifanyia marekebisho
 na kurudi kwenye Puff Daddy, huenda sasa atataka 
afahamike kama Dr. Combs.

0 comments:

Post a Comment