.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |

Kwenye Exclusive interview na mtangazaji Sporah wa 
The Sporah show, Jaq amekanusha kwamba yeye ni 
msagaji japo mara kadhaa ameonekana akivaa kiume
 na kusisitiza ‘sasa hivi nimepunguza sana kuvaa nguo za
 kiume, wengi walikua wanahisi lakini sijawahi kufanya 
vitendo vya usagaji na wala sijawahi kushawishiwa na mtu

 anaejihusisha na vitendo hivyo, boyfriend wangu
 hana tatizo na mavazi ya kiume ninayovaa…
 hatujawahi kupangiana mavazi’ Kwenye jibu jingine
 alilotoa J\ anasema ‘sijaolewa na wala sijawahi kuolewa,
 nilishawahi kubadili dini kweli… ni vitu vinatokea na
 usimuhukumu mtu bila kumuuliza’ Sporah: Ni kweli kwamba
 ulikutana na mtu ana uwezo wa kifedha na kulikua kuna vitu
 unataka akununulie akasema hawezi kukufanyia mpaka
 ubadilishe dini ili upate hizo mali? J Wolper:
 ‘Sio hivyo, dini nilikuja kubadilisha wakati
 nimeshapata mali, nilibadilisha mwishoni kabisa baada ya
 huyu mwanaume kuja kwetu akitaka kunioa, alinipa
 mali na vitu vya thamani kabla ya sisi kukutana
, unajua unaweza ukawa unachat na mtu mkapendana 
lakini hamjawahi kukutana… ni mzuri wa kukushawishi,
 unajua sio rahisi mtu akiwa mbali aweze
 kukushawishi mkapendana wakati yeye yuko mbali na wewe
 uko mbali, namsifia kwa uzuri wake… sio wa umbo wala
 sura bali ana roho nzuri na alinitreat vizuri
 mpaka nikaona huyu ni sahihi nikabadilisha dini’ Screen
AMSporah: Ulifikiri
a kwamba dini yako sio nzuri au? J Wolper: 
‘Kwa utamaduni wetu sisi Afrika, Tanzania
 ninavyojua hata kwa mama yangu imetokea,
 Mwanamke lazima ufate dini ya Mwanaume wako
’ Sporah: Lakini alikua bado hajakuoa?
 J Wolper: Nilikua tayari nimeshajiona kama mke wake
, ni mtu ambae alinipenda sana… Sporah: Ulijichora na tatoo
 ya jina lake? J Wolper: Kwa nini nichore jina la mtu
 kwenye mwili wangu, kwanza yeye ni Muislamu
 hapendi tatoo… nilibadili dini kwa mapenzi yangu
 mwenyewe kutokana na mtu niliekua nae na hawajui
 alivyonishawishi mpaka mimi nikabadili, sio kwa kulazimishwa…
. ‘Ninachojua mimi heshima ni kufata dini ya Mwanaume
 ukishachumbiwa, haikua kama girlfriend na boyfriend…
 alikua ananifanya kama mke wake japo hatukua
 tumekutana’ – J Wolper Sporah: Ulijisikiaje pale 
vitu havikwenda vizuri? J Wolper: ‘Mi naona ni sawa tu
 kwa sababu Mungu pia anapanga ila sikuumia sana,
 ningeumia kama mimi ndio ningekua nimetaka kuolewa
 ila yeye ndio alitaka ndoa, mimi bado mdogo… watu wa
 mitandao kwao ni big deal ila kwangu sio kitu’
\\Haukuwa uamuzi mgumu, napenda sana kufata
 moyo wangu… siwezi kufata moyo wa mtu, wengi 
waliniambia sijui ukibadili dini tena sijui mashabiki wako
 sijui nini nini… NOOOO! sio kuhusu mashabiki, mimi ni
 mimi kama mimi sikupenda kilichotokea na bado niko
 chini ya wazazi wangu, vp ikitokea nimekufa nitazikwaje
 sijaolewa??! mi siwezi kumchezea Mungu ndio maana ukiangalia
 instagram yangu mimi kila Jumapili lazima
 niende kanisani’ – Wolper J Wolper: ‘Nilikaa miezi miwili bila
 kwenda Msikitini wala Kanisani, nilikonda kwa sababu
 siwezi kukaa bila kusali na wazazi wangu nakua
 nawakosea, kuna neno mama yangu mdogo aliniambia
 baada ya kukaa na mama na kuongea nikasema ngoja
 nirudi kanisani, siwezi kufaidisha watu na kuacha wazazi 
wangu wakasononeka… nilibadili dini kwa heshima y
a mchumba wangu lakini sasa hivi nimerudi kwa heshima ya
 wazazi wangu’ J Wolper: ‘Bado Dallas ni rafiki yangu
 mkubwa sana kwangu na ni mtu poa, haongei mapenzi
 maskini… ni rafiki yangu ni
 kaka yangu, hatuwezi ten
a kuwa wapenzi… nampenda bado’ Unataka stori kama
 hizi zisikupite? ungana na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA 
na nitakua nakutumia iwe usiku au mchana, pia facebook na instagram.

0 comments:

Post a Comment