Inatia faraja kuona n kiasi gani

wanamziki wetu sasa ,wamekuwa na muamko wa kufanya aina ya mziki utakaowatangaza kimataifa,ninayo furaha kukutarifu kuwa,mwanadada Linah nae amefanya video ambayo kwa namna moja ama nyinginme itampeleka hatua nyingin kimataifa,amefanya vieo ya wimbo wake wa Ole themba nchini Afrika kusin chini ya director w Godfather aliyetengeneza mdogomdogo.angalia teaser
0 comments:
Post a Comment