Si jambo la kawaida kwa raisi wa nchi kutembea mtaani hovyo,na hii ni kwa sababu za kiusarama,japo mara nyini Rais mwenye maadui weng zaidi Duniani,Balack obama hufanya hivyo..sasa hii ni kwetu Tanzania ambapo Rais kikwete na mkewe waliwashangaza wananchi walipotembea mtaani na kununua samaki Sokoni mjini Pangani


0 comments:
Post a Comment