.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Tuzo kubwa za MTVEUROPE zimewadia na Mtanzania Diamond platnumz ameteuliwa ,kuwania kipengele cha mwanmziki bora wa Afrika/,kama utakumbuka za mwanzo zilikuwa ni tuzo za Mtv kwa aAfrika pekee,
kuteuliwa huko kumekuha wakati tayri yupo nominated kwenye Tuzo zingine mbili za kimatifa,#IRAWMA za nchini MAREKANI NA CHANNEL O ZA Africa kusini akiwa nominated kwenye category 4..
MTV EUROPE anapambana na Davido,Goldfish wa afrika kusini na Toofan wa Togo
Mungu Mbaliki diamond,Bariki Bongo fleva na Tz
Davido (Nigeria)
 
 
 
 
 

Goldfish (South Africa)
 
 
 

 
Diamond (Tanzania)
 
 
 
 
 

Toofan (Togo) 

 
 
 

0 comments:

Post a Comment