.

.

NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE ALIVYOMUANDALIA BALOZI MWANAIDI MAAJAR(FAREWELL PARTY) PARTY YA KUMUAGA

Gallery

Posted by kifesi |
Screen Shot 2014-09-09 at 1.37.07 PM
Mashindano makubwa ya urembo,Miss Universe Tanzania 2014 yameanza na  kama unaamini una vigezo nafasi  hii ni yako 
Na tatiba ya usaili ni  Mwanza itakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri, Arusha ni tarehe 12/09/2014 Mbeya na Iringa tarehe 16/09/2014 alafu Dar es salaam itakua tarehe 19/09/2014ambapo sehemu itakapofanyikia pamoja na muda utatangaziwa baadae lakini kama unahitaji maelezo zaidi piga hizi namba 0655441165/0713302075

0 comments:

Post a Comment